Wana JF
Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au...
Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo.
Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha.
Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa...
Naitwa Jumanne
Nina umri wa miaka 29
Mkazi wa Ifakara morogoro, Kwa Sasa napatikana Mwanza kikazi. Ni mrefu kiasi. Mweusi kiasi. Sio mnene.
Nahitaji Mwanamke aliye tayar Kwa ajili ya kuanzisha...
Habari za majukumu,
Nimewah Kupost hapa kutafuta Mwenza lakini bado sijapata na naendelea kuwa mpweke wa mahusiano.
Mimi ni mwanaume wa miaka 35, mferu kiasi sio mnene sio mwembamba, nafanya...
Nina umri wa 28 years
Niko Mwanza
Najishughulisha na ujasiriamali.
Nahitaji Mwanamke wa kufanya naye maisha pamoja, kwa mambo mengine tuwasiliane PM iko wazi.
Wasalaam wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima.
Awali ya yote mimi ni kijana wakiume natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35, dini yoyote na kabila lolote ambao tunaweza...
Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya.
Sifa zangu
Urefu Futi 5.9
Elimu: degree moja
Kazi Mwalimu wa secondary (Government)
Kabila Haya
Sifa za Mwanamke
Awe Bikra
Elimu sio lazima...
Habari,
Mimi naishi Songea, najishughulisha na ufundi, nimekuja mbele yenu nahitaji mke wa kuoa ambaye ameamua sasa kutulia na familia. Awe single mother, asizidi mtoto mmoja. Nahitaji single...
Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo.
Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo;
Awe...
Kijana wa kiume, umri 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, niko single, najishughulisha na ufundi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-34, awe anajishughulisha na shughuli yoyote halali, asiwe na mtoto...
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇...
Jina langu phoibe, ni Mtumishi wa umma. Sijawahi kuolewa na sina mtoto. Nahitaji rafiki wa kiume kuanzia miaka 36 -48.
Sitaki urafiki na mume wa mtu please, ukijijua una mke usini dm.
Jumapili...
~ Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29.
Jinsia mwanaume
~ Ni muajiriwa Kampuni binafsi.
~ Kwa sasa niko Mwanza kikazi.
~ Natafuta mchumba umri kuanzia 18-27.
~ Kwa aliye tayari anakaribishwa...
Wapendwa habari zenu.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji...
I'm innocent
40 miaka
One child
WITH HIV+
I don't have a wife
I'm Christian
I love God too much
Natafuta mwanamke yuko na VIH +
Mature, love to pray
Love work
Love God
Mwanamke mrembo Mungu...
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.