Habari,
Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara.
Sifa zangu
Umri-37
Dini -Mkristu
Kaz-mfanyabiashara wa mazao
Kimo-mrefu...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 37, Kibaha, Pwani, ni mwajiriwa sekta binafsi, ninamkaribisha mwanamke mwenye uhitaji kama mimi wa kuunda familia ani PM tuchati.
Asalam aleykum
Nimekuwa single kwa mda mrefu nimeona sasa ni muda sahihi kuwa na familia Sihitaji Mtu wa kusumbuana nae tena
Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia mwenye uhitaji navigezo...
Habari wanakundi, Mimi ni binti wa miaka 29, naishi dar.
Mimi ni wakawaida kabisa,
Mrefu kiasi,
Maji ya kunde,
Mkristo(SDA)
Sijasoma sana,
Asili yangu ni kanda ya ziwa,
NATAMANI NIKUTANE NA...
Wanajamvi, wasalaam!
Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. HUYO MWANAMKE LAZIMA awe:
(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu...
Habari za wakati, kama mada inavyo jieleza.
Mimi ni baba wa Kiislam, mwenye miaka 38, nina mke na watoto watatu.
Natafuta mwanamke mjane wa Kiislam, anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka...
37 yrs male looking for a wife, she should be between 20 - 33 years old, with no child, Christian, with at least first degree. Added advantage for the 1) one with her own income, 2) Kagera tribes...
Habari za wakati huu....
Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, elimu yangu nimesoma mpaka chuo nilisomea mambo ya business administration ila sijaajiriwa bali nimejiajiri mwenyewe (mfanyabiara).
Sifa zangu;
~ Mweupe...
Habari zenu waungwana,
Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa...
Habari zenu.
Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume...
Niaje katika jukwaa hili…
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu.
Vigezo:
Awe single (Mgane/ Mtalaka)
Awe Mkristo (Msabato atapewa...
Wanajamvi, wasalaam!
Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. Huyo mwanamke LAZIMA awe:
(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu...
Niko single kwa miaka 36, sijapata mtu mwenye vigezo vifuatavyo;
Mume
- Alieokoka
- Umri kuazia 37-40
- Mweye mtoto 1 au 2, asiyetaka kuwa na mtoto tena au Ambaye ana nguvu za kiume lakini mbegu...
Wanajamii, salaam!
Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri.
Mimi ni mwanaume,
-miaka 38
-rangi chocolate
-mkristu
Ninahitaji la...
Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri.
Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga.
Sifa zangu
Age 23
Elimu: bado nipo chuo
Rangi: black,
Dini: mkristo
Vigezo,
Age 20-25
Elimu, sio issue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.