Habari wana jf,
Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.
Awe na akili...
Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25.
Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa...
1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar.
2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT.
3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia.
4. Napenda kufurahi, kujifunza...
Mimi ni kijana wa kiume
Sifa zangu
Umri miaka 28 nipo mbeya
Elimu degree
Mtumishi wa umma
Mrefu
Maji ya kunde
Naitaji mwenza wa kuwa nae kimahusiano na baadae awe mke wangu wa ndoa
Sifa za...
Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja.
Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa...
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke.
Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui...
Mimi kijana mwenye umri wa miaka 26
Nimejiajiri, nina biashara inayoniingizia kipato kila siku
Rangi - Maji ya kunde
Urefu - Kawaida, siyo mrefu sana wala siyo mfupi
Sifa za ninaemuhitaji, awe...
Habari WanaJF
Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia.
Awe na miaka 33 na kuendelea na awe...
Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu.
1. Awe ana hofu ya Mungu.
2. Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD).
3. Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato.
4. Awe na...
Umri wangu 36, naitaji mwanamke ambaye tukiridhiana tuishi pamoja.
Awe anaishi nyanda za juu Kusini, umri kuanzia miaka 28 mpaka 38. Sina vigezo vingi, asante.
Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba.
Sifa kuu za mchumba ninayemtafuta;
1) Awe muislamu.
2) Awe serious.
3) Asizid miaka 35.
Mimi sasa sifa zangu;
1) Kwasasa najishughulisha na biashara.
2)...
Mimi kijana Umri 38, elimu kidato cha nne, rangi maji ya kunde, mwembamba, Kaz mjasiriamali.
Nahitaji mwanamke wa kuoa umri 27-30, asiwe na mtoto, elimu awe kidato cha nne na kuendelea, dini awe...
Habari
Mim ni mwanamke
Umri wangu ni miaka 27
Makazi yangu ni Dodoma
Nafanya kazi
Natafuta mwenza mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 40
Awe ni mkristo
Awe anaishi dodoma
Awe na stable source of...
Mimi ni kijana 30 years, nna kazi, ni mkristo, mweusi, mrefu natafta mwanamke/mchumba/mke....awe na sifa:-
-mkristo/awe tayar kubadili dini kuwa mkristo kama yeye sio mkristi
-umri uwe hauzidi...
Ndugu zangu waislamu nimeamua kurudi huku tena ili kuweza kufunga mwaka vizur binafsi natafuta mke wa kiislamu asizidi miaka 35 mengine tutajadiliana
Mimi ni kijana wa kiislamu ninaependa uislamu...
Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua.
Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na...
Habari zenu,
naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.
WASIFU...
Mimi ni kijana umri 37, dini ni Rc.
Niko mwanza natafuta mke wa kuishi naye umri 22 mpaka 30, awe mrefu kidogo mwenye chura, sichagui dini wa kabila.
Asinipende sana bali aipende sana ndoa yake🙏.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.