Natafuta mume serious, nina miaka 27, ni maji ya kunde. Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili.
Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 na kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.
Sichagui...
Habari za jioni ndugu zangu,
Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi.
Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka...
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike.
Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo
Msukuma.
Sifa za mwanamke nimtakae.
Umri 27-40
Mkristo, Kama...
Mimi ni kijana mwenye miaka 27, naishi mkoa wa Kigoma, natafuta mke wa kuishi naye maishani na tuwe mke na mume.
Sifa zangu muoaji
1. Elimu ngazi Shahada ya Kwanza(Bachelor degree).
2. Mwembamba...
Kama title inavojieleza hapo, natafuta mwanamke atakaekua mpenzi na mwisho wa siku mke wa ndoa..
SIFA
Umri: Miaka 20 - 23
Dini: Mkristo itapendeza zaidi lakini si lazima sana
Elimu: Siangalii...
I don't have idea hii ita work but Mungu ndio mjuzi.
Personal sipendi kufukazana na pilika za Mapenzi sio kamchiti huyu ana date na huyu amekuwa Ex unakuta instead kutumia muda mwingi kujenga...
Sifa zake:
1. Awe na hofu ya Mungu.
2. Awe tayari kupima HIV.
3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu
4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu.
5...
Jamani mimi ni mwanaume.
Umri wangu ni very late 20.
Natafuta mwanamke/msichana yeyote ambaye ni childfree by choice. Yaani yeye mwenyewe akiwa na akili zake timamu bila kusukumwa na mtu wala...
☆Awe na kazi yake ya kuajiliwa au kujiajiri
☆Asiwe na njaa
☆Asiwe na mtoto anaemtegemea
☆Awe huru asiwe na vidumu a.k.a madume wengine
☆Dini au rangi sio ishu
Single Mazaz Karibuni
Mimi ni wanamke ninae penda kuwa
na amani na furaha wakati wote.
Natafuta mume, niliwahi kuolewa lakini hatukupata watoto, mimi sina watoto na ambae pia hana watoto, ili tupate watoto wetu...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu na nimeajiriwa serikalini, si mrefu, si mfupi, nina kama cm 168.
Naitaji mke mwenye elimu na aliyeajiriwa serikalini au...
Mimi ni kijana wa kiume, umri miaka 30 , elimu degree ya ualimu , kwa sasa ni mfanyabiashara mdogo , natafuta mke wa kuoa kwa aliye serious anichek Pm. awe hana mtoto umri miaka 27, kushuka, dini...
Rafiki yangu anahitaji mke, anaishi Nairobi Kenya. Umri wake ni 40, mrefu, mweusi.
Vigezo
Umri 35-38, akiwa mwalimu itapendeza. Awe maji ya kunde, Mkristo na mtoto asizidi mmoja. Yeye ana mtoto...
Hello wana JF,
Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu.
Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo;
Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na...
Mimi ni mwanaume wa miaka 27
Rangi - Mweusi.
Dini - Muislam.
Elimu - Shahada kwenye Nursing.
Ajira - Sijaajiriwa kwasasa, ni mjasiliamali.
Natafuta mke:
~ Awe Muislamu [emoji3521].
~ Awe na uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.