Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua. Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe...
1 Reactions
5 Replies
693 Views
Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa...
2 Reactions
0 Replies
447 Views
Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani. Nahitaji mpenzi Ambaye: 1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma. Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
habar mimi ni kijana wa kiume umri,miaka 33,muislam,maji ya kunde,mwajiriwa serikalin idara ya utawala natafuta binti wa kuoa umri wowote ila akiwa mdogo zaid yangu itapendeza ,elimu kuanzia...
2 Reactions
4 Replies
487 Views
Wadau nafahamu watu wana mahitaji tofauti tofauti hapa. Nimeona kuna wadada/wanawake wenye uhitaji mtoto na huwa wanatafuta mtu mwenye muelekeo ili waweze kupata mtoto pamoja. Sasa ipo hivi; Mimi...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Sifa zangu Naitwa - S Umri -29 Makazi - Dar Elimu - Degree Kazi - Nimeajiriwa na pia nimejiajiri Dini - Mkristo(RC) Rangi - Mweupe mrefu Sifa za ninayemuhitaji Dini yoyote kikubwa upendo Awe...
2 Reactions
11 Replies
745 Views
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa...
6 Reactions
101 Replies
4K Views
1. Awe Dar 2. Awe mkristo 3. Awe ameajiriwa serikalini 4. Umri 26_33. 5. Mpenda maendeleo,mchapakazi na mcha Mungu,mkwel 6. Asiwe mlevi 7. Single mom ntamfikiria 8. Asiwe omba omba.
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua...
30 Reactions
211 Replies
15K Views
Ndugu kwema naitaji mke mwenye kumtumain mungu na kumwabudu Niko dar nimeajiliwa na srk naitaji mwanamke mwajiliwa awe na uwelewa na umakin na akiwa ameajiliwa srkn ni vzr sana
3 Reactions
8 Replies
543 Views
Habari wana jf kama nilivotanguliza hapo juu mimi ni kijana wa miaka 29 najishughulisha na biashara kariakoo dsm natafuta mwanamke wa kuanza naye maisha kuhusu umri kuanzia miaka 27+ chini ya...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Sina mambo mengi ndugu zangu, nadhani kichwa cha habari kinaeleweka. Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto kadhaa na tunaishi kwa upendo na amani kabisa na familia yangu, ila nahitaji mwanamke...
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Habari za Jioni ndugu zangu wote! Nimekuja na ID mpya kwa sababu nayotumia nadhani imekuwa maarufu sana hapa na ni ya siku nyingi. Naanza maisha mapya sasa, nimeshaamua na nimeshamaliza ujana...
9 Reactions
128 Replies
5K Views
Naitwa Samweli Naishi Moshi Kabila Mchaga Umri 35 Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasababu mama yake alishafariki kwa ajali. Nahitaji mwanamke atakayekua mke wangu...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto mwenye umri wa miaka 20-27 kwa kweli aliyetayari anicheki pm
1 Reactions
27 Replies
2K Views
.
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Nimeona tu niweke hili wazi kwa moyo mweupe kabisa. Duniani kwa sasa tumekuwa busy sana hatuna tena muda wa kufukuzia mapenzi na kusumbuana mchana na usiku kimapenzi. Mimi siwezi na niseme si...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom