Habarini wana JF,
Kutokana na maisha kwenda kasi hatuna budi kuwa na ubavu wa kushoto wa kusaidiana maisha ya hapa na pale.
Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi:
Awe na umri 28-32.
Asiwe na mtoto...
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza, natafuta mwanamke aliezalishwa tayari (singe mother) niwe nae katika mahusiano na kama Mungu akipenda NDOA itafuata
Zingatia vigezo ( awe ana mtoto...
Husika na kichwa cha habar hapo juu.
Mimi ni mfanyakazi katika taasis binafsi, umri miaka 36, natafuta mpenzi wa kufanya nae maisha awe dini yeyote umri 23 mpaka 45.
Hello! Mimi Ni kijana mtanzania Elimu shahada ya kwanza katika sayansi (Kemia) umri Miaka 28 nimejiajiri.
NATAFUTA mwanamke ambae atakua mchumba na Kisha kuwa mke.. dini awe mkristo na mcha...
Naitwa X, ninahitaji mchumba wa kuoa. Nina bachelor degree, sijaajiriwa bado ila nafanya biashara. Mimi ni Mkristo kwa imani,nina miaka 29.
Vigezo vya mtu ninayemhitaji
Elimu: kidato cha 4 hadi...
Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa.
SIFA
Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
Awe mweupe au maji ya kunde.
Asiye kunywa pombe.
Awe...
Hello members!
I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector.
If you meet the following criteria - 34...
Napenda sana kujiconnect na watu wapya, hivyo natafuta marafiki wawe wa kike au kiume its okay, tubadilishane mawazo na kushare life experience, then as u know anything can happen anytime...
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na...
Habari wana JF!
Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa.
Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo.
UMRI: Miaka 18-26
ELIMU: Kuanzia kidato...
Habari wana JF,
Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
Mwenye hofu ya Mungu
Anayejielewa na...
Nimefikia maamuzi ya kuongeza mke wa pili kwakuwa mimi ni muislamu na dini inaruhusu, hivyo naomba kwa yeyote aliye tayari ani PM tuwasiliane.
Mie ni mtumishi serikalini ningependa mwanamke awe...
Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba...
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma. Kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32.
Awe tayari tu kuolewa. Rangi, kabila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.