Mm niko Mtwara natafuta mke wa kuoa
Dini awe Mkristo
Umri usizidi miaka 28
Awe anatoka Mtwara mjini
Awe anajishughulisha cyo wa kukaa tu nyumban
Elimu yoyote ajue kusoma na kuandika vizuri...
Natafuta mwanamke ,mpenzi ,mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu,na asiwe kibonge tafadhari.
Mimi ni mweusi,mwenye urefu wa wastani..si mrefu na wala si mfupi,mkristukwa dini,umri...
Kama heading inavyosema mimi ni mwanume aged 30 ni mwembamba mrefu na mweusi nimeajiriwa private company.
Ninatafuta mwanamke aged 20 mpaka 35 awe na kazi au biashara nipo bagamoyo serious one...
Habari zenu wakuu,kama heading inavyojieleza hapo juu,nina rafiki yangu yupo Denmark kimasomo lakini amehitimu mwaka huu.Rafiki yangu huyo anamiaka 26,hajawah kusex hata siku moja ndio maana...
Hey fellow wanajukwa 👋 I'm a 30-year-old guy hailing from the beautiful land of Dar es salaam. and I'm on the lookout for some genuine connections. I'm all about reliability, trustworthiness, and...
I have been looking for a girl to call her a future wife, but I haven't find one who fits my criteria. I am 23, taking bachelor's degree in business administration second year. I need someone to...
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri...
Nahitaji mke mwenye utayari au uhitaji wa ndoa.
Sifa zake: Awe na umri usio punguzo 24 to 30yrs
Mwenye hofu ya mungu hapa namaanisha mkristo wa dhehebu lolote.
Elimu yake anagalau form four na...
I'm a man with 38yrs, an Engineer by professional with Bachelor degree. A Christian, 174cm tall, 67kg, black and white.
Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania, from any...
Natafuta mume kuanzia miaka 40 43 muislamu amejiajiri au muajiriwa mwenye hofu ya mungu
H.I.V anaejali afya yake na anamuonekano mzuri
Ambae anahivyo vigezo aje pm
Habari za mchana Wa jf.bila kupoteza wakati niende kwenye mada:Nina miaka 25( ME)natafuta mpenzi
Nko Dodoma.
Umri kuanzia 20-30
Kama uko seriously njoo pm
Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo!
Makabila yote nayajua ila...
Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mkee maana huu ndo muda sahihi
Sifa za mke ninaemuhitaji
1)Maji ya kunde au mweupe
2)Sio lazima awe na ajira maana mimi ninayo ajira nzuri tu
3)Lazima awe...
Tuanze kwenye urafiki hadi kufikia mpenzi (me)
Sifa zangu;
Jinsia: ke
Umri: 27
Dini: mkristo
Kabila: Nyakyusa (nimetaja kabila Ili msiokuwa interested muishie kusoma tu huu Uzi)
Elimu: la saba...