Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
If I could change one thing about me I wouldn't change a thing. I'm perfectly imperfect. I strive to better myself in the eyes of the God. I'm single because I am a woman of substance and I...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadada / wanawake, kama wewe ni mpweke kama mimi na ungependa kupata kampani kwa siku hizi za sikukuu na hata baada ya sikukuu naomba tuwasiliane na kupeana kampani!! 0764644485 number...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Habari wanaJF! Umri wangu ni 32yrs, Fani inayoniweka town ni Udereva, Elimu ni ya kidato cha 4 (passed), Makazi Tegeta (nimepanga), Uraia mTZ, Maritor status Single. HITAJI: Marafiki waaminifu wa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hallow
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Wanajamvi hakuna mzaha. Awe na miaka 30 mpaka 43! Sihitaji anizalie nna watoto wawili wanantosha! Awe mnene mwenye mgongo ambao kila ntakapokuwa nae hata wanawake wenzake watatamani hilo tako...
3 Reactions
50 Replies
7K Views
40
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kama kichwa kinavyosema. elimu at least form 4, dini yeyote. upole na ukarimu ni added advantages. mi ni 27 yrs old. mkristo. naweza kukutunza, kukugegeda, kukupenda na kukulinda. ambaye yuko...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Natafuta Mke wa kuwa nae kama KAKA na DADA umri wowote ule.Mimi umri wangu nina miaka 45,niko serious na nina nia ya dhati na thabiti,MWANAMKE yoyote aliye na utayari tafadhali PM au tuwasiliane...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana Jamiiforums ni mvulana umri 28, naishi kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa, ila kuna sehem najitolea, natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters, awe wakawaida sina ubaguzi wa kabila...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni daktari niko singo namtafuta mke awe na umri kuanzia 22-27 elimu 4m 4 -- chuo ani pm
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Naitwa Janeth mpaka kufikia kuandika hapa nimechoshwa na mapenzi ya usaliti kwa wanaume.sasa natafuta mwenye mapenzi na kujenga maisha
3 Reactions
55 Replies
10K Views
Mimi ni kijana nahitaji mwanamke alie tayari kwa mahusiano ya muda mrefu,nipo Mby kwa sasa kikazi,kwa alie tayari aje pm kwa maelezo na kufahamiana zaidi,umri usuzidi miaka 30 na walau urefu ft...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wakuu kuna mtu mwenye dada mzuri nioe teh teh teh just a joke
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Miaka 18-25 Awe mwanachuo au mfanyakazi Asiwe mwembamba Namba::0688908767
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari. Nina umri wa miaka 29, elimu yangu ni chuo kikuu.zifuatazo ni baadhi sifa muhimu za mke naemuitaji : 1.Awe mcha Mungu ( mkristo ) 2. Awe mwenye maadili ya kiafrika...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Hello JF habari yenu, naitwa Collins 29,ni mwanaume. Nina elimu ya chuo(IFM) degree ya 1. Ninafanya kazi kwa sasa. Napenda Music,kuogelea,kusafiri,mpira(Man Utd),kwenda beach,movies,kusaidia pale...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa..! Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uzima telee. Mimi ni kijana wa kiume,ninatafuta mwanamke wa kuoa wasifu wangu ni kama ifuatavyo:- 1.umri wangu upo kati ya miaka 25-30...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta Marafiki wa kuchat nao wa jinsia zote tubadilishane mawazo na kusaidiana kimawazo. All men n ladies welcome
1 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa sasa nipo wilayan Serengeti nimefika jpili ninapenda nipate mwanamke MWENYE kujitambua ili awe mwenyeji Wangu mengineyo tutaongea kupitia 0766627147
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom