Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hi wana JF!! I am looking for a lady maximum age 32 with a bachelor degree and above. PM plse. Only for serious women
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna Mbongo kaniomba nimsaidie kupost hii maana yeye akaunti inagoma kufunguka kasahau nenosiri....nawaomba chonde usitume PM kwangu kwani haitosaidia wala sitazijibu badala yake wewe tangaza nia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanza yaonekana nzuri natafuta mwenyeji, niweze kuuelewa mji
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Natafuta mke kuanzia miaka 25-31, awe angalau kafika kidato cha 4 na kuendelea. Awe tayari kupima na hata kama ana m\watoto sio mbaya wasizidi 2. Mimi ni mwanaume nina miaka 34 elimu shahada...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wa kuish nae awe angalau amefika collage yoyote tu!! Kwa kuwasiliana zaid nicheki hapa 0758082840
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Nataka mmama mnene Halafu awe na pesa tuwe wapenzi. 0655191544 awepo DSM
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Natafuta mume mwema
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa jina SULEIMAN ninaumri miaka 29,kabira mama mpare baba mnyamwezi,mrefu kiasi,si mwembamba wala mnene,mweupe wala mweusi,ni kati kwa kati,dini muislamu,elimu chuo kikuu,mfanyabiashara mdogo na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
anyone who is ready to chat with me in english he/she is invited. time for chatting will be from 22:00 to 00:00 am. chatting without any restrictions (unconditional chatting).
0 Reactions
22 Replies
2K Views
BADO SIJAOA...Natafuta # Mwanamke_Aliyeachika maana Nimeambiwa MKE MWEMA ANATOKA KWA BWANA.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Mimi nina umri wa miaka 34 natafuta mke awe na umri wa miaka 28-31,Mwenye sifa hiyo anitafute 0715898965 tutaongea unaweza andika sms
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau, kama upo mpweke kama mimi naomba tuwe friends na kubadilishana mawazo na hata outing pia kama itawezekana!! KAMA HUTOJALI KARIBU SAANA. ni pm kwa maelezo na mawasiliano zaidi
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu Natafuta mwanamke wa kula nae raha na utamu Nipo Dar
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nahitaji rafiki wa kike ambaye baadae tunaweza tukawa pamoja ktk mauhusiano... ni pm.... isolation kills me...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
27 age cjaoa naitaji mke very sereous age yeyote kupima afya ni muhimu kama unamtoto siyo mbaya nitafute tufanye maisha 0716284572
0 Reactions
16 Replies
3K Views
habari wana JF natafuta mpenz wa kike umr kuanzia miaka 18 mpka 25 mim nina miaka 25 npo dar naye pia awe dar,,me ni mfanyakaz nimeajiriwa ktk kampun binafs hapa dar,natafuta mpenz ikiwezekana aje...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Naitw armany naishi dar,, nahitaji mpenz wa kweli na asiwe muongo...awe modle kiias rang yyote...0758082840 whatsapp utaniiipata
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Hodi humu i am a boy 22 years old nipo chuo kikuu degree in electrical engineering. I am a single boy shida yangu ni upweke umenizidi, natafuta mpenzi ambaye if possible tuje kuoana vigezo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom