Nachukua fulsa hii kujitokeza katika ukurasa huu kutafuta mchumba later aje kuwa mke.
me me ni mfupi,mweupe wa wastani,mwanafunzi,muislamu
sifa za bibi harusi huyo ziwe kama ifuatavyoo;
1)mwenye...
awe mtu mzima kuanzia 35+
awe ana interest za business
awe anajitambua
asiwe bwakubwaku
awe ana uwezo wa kuzungumza hadharani,kuhutubia n.k.
awe na uwezo wa kusafiri ndani na nje ya nchi
awe...
napenda kuwapa ushauri wa kuweka ata picha. Nazani Picha ni moja ya kichocheo ya kuweza kupata mwenza mapema na kwa haraka. Sasa huwezi pata mwenza wakati hajakuona ata picha yako
Naulizia wale wadada ambao wanafanya kazi zao na kuishi kwa kujitegemea. Sio wanafunzi, japo wako wanafunzi ladies. Wanapatikana wapi hawa? Napishana nao manjiani lakini hawajaandikwa wako singo...
Hello jf love connect, naitwa Sean 28 Male,Dar. Napenda Muziki,Kuogelea,Beach,Kusafiri&kuwa na furaha. Mmi ni graduate wa 2011 ila kwa sasa ninafanya kazi. Nahitaji marafiki wa jinsia yeyote. Kama...
ladies and gentlemen,
habari zenu?
i hope you are all well!
well,
from the heading,
iam a man aged 23 years old, a higher learning student. i managed to stay out of relationship with girls...
Hii inawahusu mabinti warembo, waadilifu na wachaMungu pamoja na wa kakawanaopenda kuwakuwadia Dada zao.
Maisha ni style na historia,baada ya kula bata sana katika dunia hii kwa miaka 28 sasa...
Habar wana MMU
Nimejaribu kutafakar kidogo nikaona kuwa wadada wa MMU hawana ushirikiano unapo post uzi wa kuhitaji mwenza tofauti na kwa upande wao.
Naomba kujua tatizo ni nn au ndio mpaka...
ubachela
nimeuchoka sasa nataka msichana/mchumba wa aina yoyote kabila ama dini
yoyote tupange wote maisha awe mkazi wa Dar ama Moro iwe rahisi elimu
sio kigezo awe anajua maisha tu, text...
npo mtwara kwa sasa, nasoma saut ya mtwara nahitaji kupata mwanamke ambaye baadaye atakuwa mke!awe na umri wa miaka 23 had 26 na awe anaishi mtwara,lindi au iringa!alie tayar anitafute kwa namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.