Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Naitwa Sam from Dar, nina miaka 24,mrefu wa wastan,mweupe halafu modal.Natafuta mpenz umri kuanzia miaka 20 mpaka 23,Awe rangi yeyote ile mweupe,mweusi au hata mzungu kama yupo,asiwe mnene wala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heruaa heruaa herua Jamani kumekua na thread nyingi za kutafuta waume,wake,wapenzi Na kadhalika Ingekua poa sana kama mkitujulisha hao watu mnaowatafuta kama mmewapataa heeeeeeeee...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 32,Mtanzania,Mkuria,mkiristo,mrefu futi 5'9,mweusi kidogo(maji ya kunde),umbo langu ni la wastan,graduate,nafanya kazi serikalini,nipo Mwanza mjini,nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman kwa wale wanaoishi tabora tuwe angarau tunakutana ajiri ya kubadirishana mawazo ya kimaisha na vitu vingine
1 Reactions
1 Replies
839 Views
Kwa kautafiti kangu kadogo nlikokafanya nmegundua kwamba wanawake wenye urefu wa kuanzia ft 5.6 ni warembo na kwenye mambo yetu yaleeee ndo wenyewe Msichana mwenye urefu kuanzia ft 5.5 anitumie...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Uwe na shape angalau, yakuniweka roho juu, niwah kurudi nyumbani, employed or selfmade any education Level,serious one, good hearted, pliz be kind enough
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Sifa za Mwanamke-Awe muislam anaejua dini na mwenye kujistili,elimu yoyote,alie wai kutendwa, mwembamba kiasi,mwenye subla,awe tayari kuijenga familia.........Nb. sio mzaha kama ukotayari ni inbox!
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Nishakuwaga na mtoto tangu nikiwa form 4,so biashara hiyo nishamalizaga.Natafuta demu tasa tule bata mpaka tuzikane. Sifa nyingine ni awe murembo kwa kiasi chake au zaidi,sio mnene wala kimbao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu naitaji bint wakutoka nae out age kuanzia 12~25 mm nnamiaka26
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu. Nataka nianze kusaka jiko cjui pa kuanzia.....nielekeze lolote kuhusu hili tafadhal!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu nimechoka kuwa mpweke naitaji girlfriend mwenye tabia nzuri mcha mungu awe mweupe au maji yakunde,urefu na umbo awe wawastani tu aliyetayari anaweza nichek fbk mussawilheliam@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
827 Views
natafuta mrembo mmoja tu. awe mrefu km mm (ft 6.3) na kiujumla awe na akili timamu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Please i need a girlfriend!
0 Reactions
5 Replies
894 Views
Natafuta msichana ambaye atakuwa mchumba na kisha mke wa ndoa. Umri kuanzia miaka 20-25. Awe mcha Mungu na kwa mawasiliano ani PM. Thanks kwa kunielewa.
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Kwa nwanamke alie serious ani pm,umri wake usizidi miaka 28 na di chini ya 23.KARIBUNI
0 Reactions
6 Replies
2K Views
natafuta mdada au mwanamke wa kutoka nae kimapenzi,tukiendana nachukua jumla nichek 0759600847.
0 Reactions
0 Replies
633 Views
hello wana jf natafuta rafiki wa kike anaeishi dar sibagui dini,rangi wala kabila, awe na umri kuanzia miaka 25 up to 35 karibu kwa pm!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo Natafuta mwanaume wa...
3 Reactions
39 Replies
9K Views
Kama uko Serious tuwasiliane.. Wasifu wangu; Umri-miaka 33 Elimu-Bachelor Mwajiriwa. Nnayemhtaji,, asizid miaka 30, elimu kwanzia kidato cha 4
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafanya hivi baada ya kupumzisha kichwa changu kwa kipindi kirefu kidogo baada ya kufanyiwa mambo ya ajabu na aliyekuwa mchumba, namanisha natafuta mchumba mi mwanaume wa miaka 36,elimu chuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom