Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke .
SIFA ZA MKE...
Asiwe mrefu sana wala mfupi
Awe black beauty
Elimu kuanzia form 6 na kuendelea
Awe mkristu
Awe...
Habari zenu wanajamvi,
Naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sanasana wadada yan akipewa...
mimi kijna mwenye umri 22-25 natafuta mwanamke yoyote yule mwenye sifa zifuatazo Elimu drs la 7 nakuendele mrefu kiasi ,mnene kiasi(asiwe mwembamba) anyejua mapenzi (sio lazma) ,mchesi ,mwenye...
Wana jamvi naomba msaada wenu katika jambo hili;Mimi mwaka 2009 nilifunga ndoa na binti mmoja ambae nilikutana nae kazin na baada ya kama miez kadhaa tuliamua kufunga ndoa kanisani lakin wakati...
Wakubwa habari zenu. Mimi ni mtanzania halisi ambaye huwa nina ndoto ya kuwa na mke kutoka israeli. Kama kuna mtu ambaye anafahamiana na binti wa kiisraeli tafadhali nitumie contact zake
Mim nikijana wakiume nina elimu ya chuo kikuu, urefu 5.5ft, chokulate color, 30yrs old natafuta mchumba mkristo awe na sifa zinazo kalibiana nazangu but umlilazma awe chin ya miaka 30yrs, niko dar...
Habari za Leo wana MMU, Mimi ni Mwanaume wa Kitz, nna miaka 27, elimu yangu ni ya chuo, sijapata bahati ya kukaa na kazi ya kuajiriwa muda mrefu, so nnakuwa najishughulisha na shughuli...
Limekuwa jambo la kawaida sasa kwa vijana kujitafutia wake kupitia mitandao ya kijamii. Inawezekana wapo wanaobahatika kupata wake wema lakini binafsi nadhani si jambo jema sana. Asilimia kubwa ya...
jamani ndugu zangu samahan kwanza kwa kuweka mada hii katika upande huu wa madavdav lakini pia sio mbaya kwasababu kinachonifanya nipost hivi ni mapenz. jamani lengo ni nikuomba msaada hasa kwa...
Nahitaji mke ambaye atakuwa tayari kupima Ukimwi,mimi nina umri wa miaka 44 nina watoto 2 na nimeajiriwa,ninaye muhitaji naomba awe na umri kuanzia miaka 39 mpaka 42,awe mfayakazi wa kuajiriwa au...
Habari wapendwa, mi ni kijana wa kiume na nina umri wa miaka 29 na ni mwajiriwa wa taaisisi isiyo ya kiserikali, shuuli zangu nafanyia Dar es salaam na Arusha. Sina mke, sina mchumba, na sina...
Mimi ni kijana mzuri tena rijali na mwenye sifa ya kuwa mume na kuwa baba wa familia.Natafuta bint mweye sifa ya kuwa Mke na kuwa mama watoto wetu pindi tutakapooana.sifa zake awe mwenye hofu ya...
1. Fake name means fake future partner.
2. You must be insane, hilarious, seriously sick or even a big joke if you can't afford to find a partner out of infinite many people that physically...
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huku tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi. Ningependa kupata mwanamke mwenye kujitambua, mwenye elimu/kazi/biashara yake ama hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.