Habari zenu wanajamvi.....nnampenzi wangu tumekaa almost miaka mitatu sasa..bt hajawai kunipeleka anapoishi hta mala mja..na najua kila kitu kuhusu yeye kwamba anamtoto bt aishi naye anaishi na...
ndugu zanguni,ninaumri 32.natafuta mke ili tuyaanze maisha pamoja.Nipo songea.
dini siyo kigezo kwangu wala elimu.napenda mwanamke asiye tumia mkorogo.18-30 umri
No 0653109366
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?
mm ni mwanaume miaka 32, elimu ya chuo, nina mtoto mmoja, kwa umbo ni mnene wastani kimo cm 154, ni mweusi kisura. natafuta mke umri miaka 23-31 dini yoyote, elimu kuanzia kidato cha nn, awe na...
Ndugu wana JF,
Nahitaji mwanamke wa KUOA, awe na angalau sifa zifuatazo:-
Dini: Muslim mwenye kujitambua na kumjua Mola wake kwa vitendo.
Elimu: Aliyehitimu kidato cha nne na kuendelea...
Hi wana Jf
Natafuta mchumba mwaminifu ili aje kuwa Mke wngu. Aliyetayari ani PM.
Umri wangu ni 37, urefu sm 150, elimu yangu ni ya kawaida lkn nitafurahi sana atakayekuwa tayari bc angalau awe na...
mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 natafuta mchumba wa kike awe anaishi morogoro kama sio moro basi awe tayari kuja kuniona moro, awe anaumri chini ya miaka 27 namba ya simu 0656179600. kua...
Hey ladies;
Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia...
Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwsho ana majini m nasubr wa kunifuata...
Natafuta mchumba awe mwafrica mwenzangu na awe anaishi UK ili tuweze kuonana maana sitaweza long distance, alieko tayari tuwasiliane tuone tutafika wapi, mimi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.