Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke . SIFA ZA MKE... Asiwe mrefu sana wala mfupi Awe black beauty Elimu kuanzia form 6 na kuendelea Awe mkristu Awe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni msichana naamini mme anapatikana sehemu yoyote. Natafuta mme awe mkristo mwenye miaka 29-33. Naomba ani PM.
4 Reactions
97 Replies
17K Views
Natania tu, jamani isije ikawa serious saana kuhusu huu uzi , awe miaka (16-20) , maana usiozee jela
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sanasana wadada yan akipewa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mimi kijna mwenye umri 22-25 natafuta mwanamke yoyote yule mwenye sifa zifuatazo Elimu drs la 7 nakuendele mrefu kiasi ,mnene kiasi(asiwe mwembamba) anyejua mapenzi (sio lazma) ,mchesi ,mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamvi naomba msaada wenu katika jambo hili;Mimi mwaka 2009 nilifunga ndoa na binti mmoja ambae nilikutana nae kazin na baada ya kama miez kadhaa tuliamua kufunga ndoa kanisani lakin wakati...
0 Reactions
102 Replies
13K Views
Wakubwa habari zenu. Mimi ni mtanzania halisi ambaye huwa nina ndoto ya kuwa na mke kutoka israeli. Kama kuna mtu ambaye anafahamiana na binti wa kiisraeli tafadhali nitumie contact zake
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mim nikijana wakiume nina elimu ya chuo kikuu, urefu 5.5ft, chokulate color, 30yrs old natafuta mchumba mkristo awe na sifa zinazo kalibiana nazangu but umlilazma awe chin ya miaka 30yrs, niko dar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Leo wana MMU, Mimi ni Mwanaume wa Kitz, nna miaka 27, elimu yangu ni ya chuo, sijapata bahati ya kukaa na kazi ya kuajiriwa muda mrefu, so nnakuwa najishughulisha na shughuli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Limekuwa jambo la kawaida sasa kwa vijana kujitafutia wake kupitia mitandao ya kijamii. Inawezekana wapo wanaobahatika kupata wake wema lakini binafsi nadhani si jambo jema sana. Asilimia kubwa ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya uhitaji wa mke,naweka hadharani,nahitaji mke mwema jamani! awe mkristo,umri20-26,elmu 4m4-,mm n edctn officer2
0 Reactions
1 Replies
962 Views
jamani ndugu zangu samahan kwanza kwa kuweka mada hii katika upande huu wa madavdav lakini pia sio mbaya kwasababu kinachonifanya nipost hivi ni mapenz. jamani lengo ni nikuomba msaada hasa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mke ambaye atakuwa tayari kupima Ukimwi,mimi nina umri wa miaka 44 nina watoto 2 na nimeajiriwa,ninaye muhitaji naomba awe na umri kuanzia miaka 39 mpaka 42,awe mfayakazi wa kuajiriwa au...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wapendwa, mi ni kijana wa kiume na nina umri wa miaka 29 na ni mwajiriwa wa taaisisi isiyo ya kiserikali, shuuli zangu nafanyia Dar es salaam na Arusha. Sina mke, sina mchumba, na sina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mzuri tena rijali na mwenye sifa ya kuwa mume na kuwa baba wa familia.Natafuta bint mweye sifa ya kuwa Mke na kuwa mama watoto wetu pindi tutakapooana.sifa zake awe mwenye hofu ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo sibagui dini ,kabila n.k
0 Reactions
0 Replies
851 Views
awe mweupe, mrefu kias, mnene kiasi,shape mzuri awe mfanyakazi au amejiajiri kama uko ivyo chek me on 0718261099
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Fake name means fake future partner. 2. You must be insane, hilarious, seriously sick or even a big joke if you can't afford to find a partner out of infinite many people that physically...
7 Reactions
192 Replies
10K Views
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huku tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi. Ningependa kupata mwanamke mwenye kujitambua, mwenye elimu/kazi/biashara yake ama hata...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
..............
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…