mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani...
kusomana tabia kama kweli unafaa/ au nafaa kuwa mumeo,awe ni mwenye akili safi na heshima ya kufaa kuitwa mke wa fulani. Awe tayari kupima afya, umri ni miaka 18-27 sichagi dini, kwani hiyo ni...
Hi JF.
I'm male 34 of age,
5.5" tall, Univ level education, Employed, standard earning, Living in Dar, Looking for wife (Not girl friend).
She should be pretty, Tall, Curved in shape, Not more...
Naitwa Janeth Shawa miaka 29, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli umri kati ya miaka 29 mpaka 40 ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa,Ambaye hana mke,akiwa na mtoto au watoto sio...
Hello.
Natafuta marafiki wa kuchat nao na kushauriana maisha.Sichagui jinsia.Sifa awe mtu mzima umri kuanzia miaka 27 hadi 30 ,mwenye hekima na busara,mcha Mungu tutaendana sana na nitawapa...
.Mimi ni msichana umri 21-22 natafuta mpenzi:
sifa;
1.awe na kazi inayotambulika.
2.asiwe mchoyo wala m'binafsi wala mpekee.
3.awe mrefu mnene kiasi na mweusi kiasi
4.awe msafi wa ndani na...
Nipo Geita,natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuish maisha ya ndoa! Sifa zangu nitamwelezea endapo atakuwa tayari na kunitafuta kwa nambari 0759947397.Ingependeza zaidi naye awe maeneo ya...
Awe social mwenye uchangamfu wa kuburudisha roho yangu,elimu,kabila,utaifa na dini yoyote ile,umri kuanzia 18,kama anakunywa pombe asiwe mlevi wa kukesha bar,na awe na kipato cha pesa kidogo.Mimi...
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa...
Habari wadau! naitaji binti yeyote anayejisikia kutoka siku ya leo na hana kampani anipe kampani,naitaji kampani ya kike..if u feel like join me this satoo kufurahi sehemu yoyote nzuri basi...
Kila nikisoma jukwaa hili najiuliza hivi kuna watu waliowahi kukutana tu jf wakafahamiana na baadae wakajuana na hata kufunga ndoa? sometimes naamini hii inawezekana lakini nataka watu waliopitia...
Wadau mara kadhaa nimejitokeza hapa JF kutafuta wachumba lakini matokeo yake ni DISASTER tupu maaana nimekutana na vitimbi vya hatari ikiwamo kukutana na Visirani, Gold Diggers,vijizi & Matapeli...
May the Lord connect you to a right woman,.A woman who will not waste your money, time or energy,.A woman who will influence you positively,.A woman who will love and respect you even when your...
Natafuta Mke wa kuoa. Mimi sichagui umri wala umbo wala sura. Natafuta mke wa kuoa. Ukitaka kujua Wasifu wangu ni PM ntakutumia hadi picha. Nipo serious sana kwa hili. Naimani mke wangu wa kufa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.