Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Waungwana mi ni kijana wa kitanzania,umri wangu ni miaka 32,nina kaz inayonipa kipato cha kawaida tu,nipo sirious kwa alie tayari basi ani pm then tujue la kufanya,karibun sana.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mm ni kjana mwenye miaka 28 nimejitokeza hapa kutafuta mchumba nimeajiliwa serikalin na n mjasilia mali kabila lolote lakn mwalim atapewa kipaumbele na awe mkiristo mwenye uhtaji kama wang ani pm...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I am a boy aged 28 years old. I am a graduate of BSc. Eco- tourism and Nature Conservation. I am looking for a women who is ready to be a wife. The following is the qualifications for the lady am...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Am looking for beautiful lady ready for a serious relationship. Age is between 18 and 22. If you are that lady, srnd me a private mesage then we will pick from there.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana nashukuru kwa ushauri wenu mlionipa kuhusu mke wangu kichomi.Mara ya mwisho tulipatana kuwa aende nyumbani akapumzike ili tutafute suluhu.Cha ajabu amekaa muda mfupi na amerejea tena na...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari za Leo wana Jamvi, mimi ni mwanaume, nna miaka 26, kwa sasa nafanya kazi Kibaha, ingawa makazi yangu ni Dar. Sijawahi kuwa na historia ndefu ya kimapenzi, maana tangu nipo shule nilimpenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mm n mbwanaume umri 32. Nahitaji msichana ambaye atakuwa mke.awe na hekima,mcha Mungu na mwaminifu. Awe na umri kuanzia 25 to 30. Elimu at least form 6. Nipo serious, aliye tayari kwa mazungumzo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello jf Arusha wingz, nani anataka kampani wikiendi hii??? karibuni niko Arusha kwa miezi kadhaa, hivyo kama utapenda/unapendelea kuonana macho kwa uso na mwanajf,njoo unakaribishwa NB:Uwe uko...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
High sisters! i am six feet tall, not white but not so black, a committed CHRISTIAN, a little thin and a true lover.Aged 30+ I AM LOOKING FOR A GIRL TO BE WITH ME WHOEVER HAS FOLLOWING CRITERIA...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike anayetaka kuanzisha mahusiano mapya.nipo morogoro.umri miaka 25 mpaka 30.anaweza kuwa na mtoto lakini awe mcha mungu.mvumilivu na mwenye kazi serikalini.awe moro au...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
ukiambiwa mapenz ya siku hiz hayana mana we elewa tu hivo..ikiwa wewe unayafulahia hongera zako..wengine tushatendwa tena huku stress hizi siwezi kuzibeba peke yangu so nitaji malafik wanaojua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke mjasiliamali mwenye umri wa miaka 25. Ni mzaliwa wa Sumbawanga ila makazi yangu kwa sasa ni Dar. Sina mtoto na sijaolewa. Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya...
6 Reactions
0 Replies
13K Views
Hey people! I am a girl who is seriously searching for a man to imprenant me I mean to only make me pregnant cause I real need to have my own son or daughter at this age(24). So any handsome...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
Mimi nina umri wa miaka 27 natafuta msichana tutakuwa friendz kwa muda mwaka1 bila kufanya chochote den tuoane.Awe wakawaida asiwe na mambo mengi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mi Steve natafuta msichana mweupe, miaka 19 hadi 23, aliyehitimu chuo au ameajiriwa, msukuma, mwenye bikra, mrefu kiasi, mkatoliki. mi mweupe kiasi, miaka 28, mkatoliki, nimeajiriwa, mchaga namba...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenyu wana Love Connect!!!! Nimepitia baadhi ya thread katika hili jukwaa, especially za kutafuta mwenzi / wachumba. Nilichogundua ni kwamba ule msemo kuwa "Uzuri wa mwanamke tabia"...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Hi sisters! i have not succeeded yet hence i here present my request for love again, i am a young man aged 30-35, six feet tall, not white but not too black -somewhat brown,i am a little thin, am...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume miaka 25 Wadau naombeni mnisaidie hili nitapataje mchumba hapa jf kwasababu watu hapa hutumia fake id fake avatar na majina mengine hapa pia huchanganya kama ni meni au demu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom