Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!
Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika...
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu...
Jina na picha ndo hivo vinadisplay kwa my profile ...
Ni mvulana
Umri wangu miaka 25
Elimu yangu ni ya wastani,
Najishughulisha na ufundi wa sofa,
Naish dar
Ni mkristo..
Mwenye kuvutiwa nami na...
Helo,naitwa Colins nipo dar, umri 28 nipo ktk mahusiano. Nimehitimu chuo (ifm 2011) na kwa sasa ninafanya kazi. Napenda kuogelea(sana) kwenda beach,kusafiri,kutembea,kusaidia na kuona watu wakiwa...
Mimi sijambo kabisa na natumai hata wewe unayesoma haujambo.
Najua unajishangaa kusoma bandiko kama hili maana halina kitu chochote cha msingi isipokuwa kukupotezea muda tu.
Kwakuwa sitaki uzidi...
Assalam aleikum,, mimi ni mtu mzima nina umri wa miaka 45 , ninawatoto wakubwa tulozaa na marehemu mkee wangu, nahitaji mke wenye umri wa 35 mpaka 40 hata kama ana mtoto, kigezo ni dini tu mimi ni...
Kwanza kabisa binafsi nashindwa kuelewa, mwanzo nilipenda sana kuwa na uhusiano na mwanamke mwenye umbo dogo.ilitokea hata kutumia muda mwingi sana kumtafuta binti mmoja mwenye sifa ambazo mimi...
Umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa...
Habari wadau wote jukwani:
Hivi Madada zetu wanapenda nn haswa!
Unapomtongoza ukiwa huna kitu tegemea mambo mawili:
Akukatae kigezo sio type yake ama akikukubali jua nilizima utashare na mtu...
girls, picha hapo juu yajieleza! ningependa kupata mdada mrembo from jf, awe mrefu, mnene kiasi, mpenda mazoezi na asiwe na kitumbo cha chipsi!
niko tayari kuanza mahusiano ya kimapenzi na yeye...
Mimi ni kijana handsome niko Dar ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi nahitaji mpenzi wa kike ambaye anaye taka mapenzi matamu ya kweli na mwenye mapenzi ya kweli mwenye umri kuanzia miaka 18-32...
Naamini jamvi hili ni mojawapo ya njia rahisi sana ya kunikutanisha na aina ya mtu nayemtaka
Sifa
Awe mkristo
Umri miaka 25 hadi 28
Mwembamba rangi yeyote ila...
Mimi naishi moshi na Mara nyingi hujisikia lonely hasa weekend kwani na kuwa na muda wa zaidi.
kama yupo msichana ambaye anahitaji company hasa weekend na yupo moshi au Arusha....napenda aliyepo...