mim ni msichan nina miaka 25 marafik zangu wa zaman wananiboa cz tumekuwa sio marafik tena tumekuwa ni watu wa kuchunguzan na kuchekana kam mwenzetu akikosea kwenye life something wich is not good...
Nina miaka 44 natafuta mwanamke wa kuwa mwenza wa maisha na awe tayari kuanzisha familia awe na umri wa kuanzia miaka 40,aliyetayari Pm au tuwasiliane kwa email adres ifuatayo kachelenga@ovi.com
Nina mpenzi wangu mdada ambaye ni Lawyer Hapa Jijin Dar tunapendana saana, ispokuwa ananichosha kwa kuzidi misimamo kwa kila jambo ambalo nitashauri lazima yeye atakuwa na mbadala hanipi nafasi...
Jamaa yangu anatafuta mke wa kuoa.
umri uwe miaka 27 na kuendelea ila isizidi 33 maana yeye ana miaka 31 sasa.
Awe mkristo(madhehebu ya kipentecoste yatapewa kipaumbele)
Awe na elimu isiyozidi...
Kwanini wanaume wenye hekma na busara mumeoa walio baki masharobaro na waaribifu, wauza unga, wavuta bangi, na tulio taka tusubiri tukomae kwanza, kumbe tulikataa bahati.
Niliona ktk movie jamaa...
Habari za jioni. Mimi ni binti mwenye miaka 25,niko single, nina degree moja,mwajiriwa katika sekta binafsi, niko maji ya kunde na slim figure, mkristo(rc), independent. Natafuta a realman awe...
Mnaonaje tukifanya Love connect Party?
Woote wanaotafuta iwe mwanamke au mwanaume wote pamoja. Siku hiyo mwenye kupata apate, wa kudanganya wadanganyane na at the same time burudani.
Kila mtu...
Habari za asubuhi memberz! Mimi ni miongoni mwa wavulana nilowahi kuweka bandiko langu hapa la kusaka mchumba, walijitokeza mabinti kama wa 3 hivi ila nilichobaini hawakuwa kimapenzi bali...
Wana MMU nilikuwa naomba maneno ya kunasua fumbo ambalo niliambiwa na msichana ambapo nilikuwa namtongoza nakunijibu kuwa "huwa hajisikii kuwa na mvulana" lakni kwa mwonekano anaonekana kuwa ana...
Hivi jamani itakuwa mbaya kama msichana utatangaza nia (kumtongoza) akiwa na marafiki zake, kwa sababu umemuomba mtoke pembeni kidogo akagoma na kukwambia umwambie hapo hapo.
Aaaw! me mmh well am a movie geek, a music freak, u know life's too short to waste on being sad and i truly believes dat drims do come tru....and on the other part am an idealist, semi-romantic...
wakuu natafuta rafiki wa kike ila asiwe mwafrika coz kila siku nawaona,naitaji mzungu na atakaefanikisha hili zawadi nono itatolewa im so serious and I need girlfriend as I specify,KARIBUNI NA PM...