Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nimetokea kumpenda msichana mmoja hivi, kiukweli anavutia. Tatizo langu nikwamba naogopa kumwambia. Dada huyo anafanya kazi crdb geita. Nifanye nini? Kila nikimuona mo yo unafanya Pah! Dah...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Dada wa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanamke mwenye miaka kuanzia 30 mpaka 40 anatafutwa,awe mrefu kiasi,mweupe,na awe anafanya kazi..nimechoka maisha ya upweke nahitaji mwenza,naiman ntampata humu jf
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta mdada wa kula nae bata jioni hii asiye na mwanume maana ataleta usumbufu kumpigia simu mara kwa mara, na mkataba unaisha kesho asubuhi asinijue nisimjue! nipm haraka!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Hassan Lioche wa Nachingwea lindi natafuta safiki wa kike wa kuchat nae mawasiliano 0655555508
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, si mfupi wala si mrefu, ni wakati; umbo la kati, Mkristo. Elimu yangu ni chuo kikuu, na nimejiajiri katika sekta binafsi. Namtafuta mke awe mkristo (mwislamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa Jerrison nipo Mwanza, nna umri wa miaka 27, natafuta mpenzi mwenye asili ya kiarabu, mzungu au mhindi, Awe anayejitambua, aliye serious na mwenye nidhamu. Aliye tayari anitafute kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MIMI NI MWANAUME MWENYE MIAKA 27 NATAFUTA MCHUMBA MWANAMKE AMBAYE MUNGU AKIPENDA TUFUNGE PINGU ZA MAISHA lakini NIWE WAZI MIMI NI MASKINI WA PESA LEO NINACHO,KESHO SINA.NAAMINI NIKIPATA MWENZA...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
natafta mke ambaye yupo tayari kuolewa na mm baada ya idd Kama yupo tayari ani PM Vigezo 1:AWE MUISLAM 2:AWE NA MIAKA 20-25 3:AWE NA AKILI TIMAMU 4:KABILA YOYOTE NB: SITAKI MATANI
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Natafuta mchumba awe mweupe mrefu kidogo kwa sababu mimi mfupi mpole awe na upendo sana msafi na mpiganaji. dmhina@hotmail.com kama uko tayari nicheki kwenye adress iyo apo juu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Awe na umri kuanzia miaka 18-22,asiwe tegemez,mwenye malengo na tamaa y maendeleo.sibagui din wala kabila,awe arusha au kilmanjaro.mim n mchagga,miaka 22 nko moshi,aliyetayar piga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mi ni mwanamke nna miaka 32 naishi na vvu,natafuta mchumba anayeishi na vvu pia.awe na miaka kuanzia 30,mkristo,awe ameajiriwa au amejiajiri,anayejitambua na kuikubali hali yake,mm nimeajiriwa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
nina miaka 25 natafuta mwanamke humu ndani wa kupotezana nae mawazo humuhumu tu kwa kuchat kwa pm au through thread..sijali rangi kabila wala umri. huwa naona wivu sana ninavowaona akina @lara1...
1 Reactions
1 Replies
962 Views
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Baada ya kufanikiwa kuwaletea Get Together Party ya kwanza na kuwakutanisha watu zaidi ya 200 pale PRINCESS HALL SINZA MAPAMBANO sasa tunawakaribisha tena kwenye semina ya Mahusiano itakayofanyika...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani...
4 Reactions
73 Replies
7K Views
Mimi ni ni kijana, nina miaka 25 mwanafunzi wa mwaka wa kwanza,nahtaji msichana wa kuchumbia mwenye sifa zote za uafrika! Ombi kwenu wana jamvi, nitatumia njia gani kumpata? Msaada tafadhari!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi naishi Arusha na nina hobby ya kufanya biashara ila muda mwingi Na Kuwa Kwenye kazi nyingine. napenda kuwasiliana na marafiki wa jinsi a yeyote wafanya bibiashara Napenda rafiki awe na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke wa ku date naye, mimi nafanya kazi Dodoma na ni mkazi wa Dodoma. Kwa taarifa zaidi ni PM. Umri uwe kuanzia miaka 25 - 30 Thanx, Kind regards, Manifesto 2015
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi mi mwanamke mwenye umri wa miaka 35, elimu degree 2. Nimeajiliwa, dini mkristo. Mengine tutaelezana zaidi PM. Naamini Mungu anakutanisha watu sehemu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom