Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo
1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo...
Heshima kwenu wana Jukwaa
Natumaini kwa uwezo wake Mungu wote hatujambo. Kama kuna mgonjwa basi Namuomba Mungu amponye ili tuendeleze ujenzi wa taifa letu.
Nami leo Najitokeza katika jukwaa...
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina...
Natafuta dada wa kunipa company wikiendi inayokuja. Mimi ni mrefu,mweupe,mnene kiasi.kwa mdada aliye interested ani pm au apige namba 0767 681 302.Wale mnaopenda kukatisha watu tamaa tafadhalini...
hello! girls....!
sijakata katamaa kumtafuta ninaye mtaka licha ugumu wa kazi hii ambayo kimatendo ni rahisi ila kiuhalisia ni ngumu kupita maelezo....! hii ni fursa tena nyingine kumtafuta...
Mambo vipi wa dada wote ambao mnaishi ktk jiji la mwanza. Mimi pia naishi ktk jiji hili najitokeza kwenu leo kutafuta mchumba atakae kuwa mke wangu.
Aliyesiliazi tuwasiliane kwa namba hii...
Nimeikuta mahali nikaona inafaa kushare hapa:
A reply from CEO of J.P. Morgan to a pretty girl seeking a rich husband
A young and pretty lady posted this... on a popular forum:
Title: What...
Siyo kimapenzi ila ni mama anayestahili kuigwa na wasichana wa kitanzania mana ananyoa upara ili kupunguza gharama za maisha siyo kama hawa wanawake wanaotusumbua ati hela ya kwenda saluni...
Niko serious natafuta mwanamke anayehitaji kuridhishwa kimahaba ili afurahie tendo la ndoa katika maisha yake. Wewe kama mwanamke hujawahi kufurahia unalichukia tendo la ndoa basi usiogope...
Natafuta marafiki wa kike.Mimi
nna miaka 25(mwanaume).Aliye
tayari ani pm bac ili tupeane
mawasiliano.Asiwe na miaka zaidi
ya 25,thanx wanajamii in
advance.
Mimi kijana wa miaka 33 na handsome wa ukweli kutoka na nilivyo navutiwa na wadada wengi sana, ila nimeamua kuwa na mdada mmoja wa kupeana naye raha ya dunia. Sifa zangu mie nimfanyakazi wa...
Habari zenu?
Natafuta mpenzi ambaye atakuwa na mapenzi ya kweli,umri wangu ni 23,mimi ni mwanafunzi wa chuo flani.rangi ni maji ya kunde,urefu kiasi,
*sifa za ninayemhitaji awe:
Rangi:maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.