Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
mimi ni mgeni dar.natafuta rafiki wa kike wa karibu.awe ni mrefu,mvumilivu,na wa kusema ukweli.yaani sio mwongo.nitumIe pm tujuane.serious ladies only.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadada wengi hawajielewi, na mara nyingi hudhani kuwa akipewa zawadi ama outings na mwanaume basi anamtaka ama anajipendekeza. Wakati mwingine sio ni vile tu ntu anakuwa anahitaji kupata mawazo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mume anahitajika awe ni mpweke na mwenye nia ya kuwa na mwenzi wa kufarijiana. awe mkirstu anamuogopa mungu na msomi mwenye kazi yake. Kwa maelezo kuhusu mimi na umri wangu na watoto wangapi nilio...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mke wa kuoa kuanzia miaka 21-24,awe mkiristo,sijali kama ameajiriwa au la..kikubwa ajitambue na asiwe mtu wa skendo,makabila yote ila kasoro pande za kaskazini..Umri wangu miaka 26..kama...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kama title inavyoonyesha,natafuta girlfriend mwenye vigezo vifuatavyo; Asiwe mrefu wala mfupi,size ya kati awe mweupe mwembamba ila sio saanaa,ila awe na shape. yaani kuanzia mgongo,chuchu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mtanzania. Nina miaka 29. I have a college education. Am dark brown in color, 170cm tall, 62kg, charming, scientific oriented, i like cycling, hiking, beaching...i don't like...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo July 30 ni siku ya kimataifa ya marafiki duniani. Nami kama mwanajukwaa napenda kutumia fursa hii ya kipekee na ya kihistoria kufikisha haja ya moyo wangu ulio mpweke kwamba nahitaji rafiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu kuna mwanamke aliolewa katika umri mdogo na jamaa saizi ya baba yake na akafunga ndoa kanisani(pentecoste), ndani ya mwaka mmoja na nusu ndoa ikavunjika baada ya binti kujifungua na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
17 - 24 woman only.. PM me for my number
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wajameni nakuja dar wiki hii nlipenda nipate mwenyeji pande hizo. awe mtoto wa kike uzuri sijalishi cha msingi awe anajielewa katika hizi kitu sio kuleta habari za watu wa darasa la saba
0 Reactions
2 Replies
813 Views
Habari zenu wadau. Mimi ni kijana wa kiume,miaka 28 ninaishi Dodoma!Elimu yangu ni Degree,,dini yangu mkristo.kabila langu msukuma!Natafuta mchumba mwenye miaka 22 hadi 24.awe anaishi...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Ninahitaji mwenza bado sijapata kwa alie tayari anipm. Nipo single mother nina mtoto mmoja 9yrs ambae hatajali tuanze mahusiano. Ninafanya kazi. Please kejeli sio busara i am serios
0 Reactions
34 Replies
2K Views
.
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Ffm
jamani mie nilikuwa nata kupata warembo wakushiriki 3some na mie....nipo tayari kugharamikia kila kitu na posho juu..aliye intrested ani pm.
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,Mkristo,Elimu chuo kikuuu natafuta msichana ambaye tukielewana anaweza kuwa mke wangu kipenzi.Vigezo Mkristo,miaka 20-26,mweupe,mfupi na elimu kuanzia kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
me ni kijana natafuta mchumba awe na umbo la wastani kikalio cha wastani me ni mwajiriwa serikalini aliye tayari ani pm
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kwanza, nawapongezeni kwa juhudi zenu ktk kutafuta maisha bora na ujenzi wa taifa letu. Pili, mimi ni kijana wa kiume (miaka 26). Furaha yangu ni kumpata rafiki wa kike anaeishi mwanza, mara au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat na kubadilishana mawazo, kushare ideas etc... Umri wangu ni miaka 27 na elimu yangu ni shahada ya kwanza... kama upo tayari ni Pm... sio lazima kuchangia hapa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina mke na watoto but natafuta marafiki ya kuchat na kubadilishana nao mawazo ktk maisha kupitia ukumbi huu wa JF.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
gggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom