Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa KITANZANIA MIAKA 34,NIMEJIAJIRI ,mrefu na mweusi tii!unene wa wastani,mchumba nimtakae angalau awe n sifa zifuatazo:Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea pia umri wake uwe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni Dar kutoka enchiladas jirani.Nafanya kazi hapa(expatriate). Natafuta rafiki wa karibu wa kike. Mrembo na wa tabia nzuri. Awe anaishi Dar,.Miaka 25-40. PM mimi tuongee mengi. Asante.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitwa Prosper Lucas nina miaka 22,naishi tandahimba mtwara tanzania,elimu yangu kidato cha 4,natafuta mwanamke ambaye baadae atakuwa mke wangu,asiyebabaika na shetani pesa,awe mwenye kutaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina nafasi mbili za complimentary za kupanda mlima meru wiki ya pili ya mwezi wa nne (100% free) Napenda kama kuna msichana adventure ambaye anapenda kupanda/ kujaribu anijulishe tujumuike...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
natafuta rafiki wa kike(for long term friendship) mweye sifa hizi;awe mkristo(thehebu lolote) elim kuanzia fom four, awe mrefu, mweusi au maji ya kunde,mwenye malengo ya maendeleo,katu asiwe cha...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Habari, Mie nimfanya biashara za kawaida. Kabila Mmanyema mwenye asili ya Kigoma Nipo Zanzibar kwa miaka kama 12.mwanzo niliajiriwa kisha nikajiajiri mwenyewe. Nia watoto wawili wote wapo Dar...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta binti ambaye baadaye anaweza kuwa mke, preferably ambaye yuko USA ningependelea sana awe anatoka karibu na Atlanta sababu hayo ndio maeneo yangu but popote pale USA unakaribishwa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninatafuta mwanamke wa miaka 30-38 kwa ndoa kwa wanaishi DAR tu.mm nina miaka 38
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hata kama ni wivu but this is too much kwa kweli!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Heshima mbele wanajamvi, Wakuu natafuta mama wa umri wa 45-50 mimi nina umri wa 30-35. Awe na mkwanja wa kutosha yaani mupunga (Hela). Ni kijana mwenye nguvu za kutosha katika mambo yetu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hey ladies,natafuta rafiki wa karibu.picha yangu IMO hapa. Email yako kwa eastcharles72@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
917 Views
Mimi ni mgeni Dar.Natafuta msichana mazuri wa tabia wa kunitoa upweke. Awe wa kusema na kutenda ukweli. Asipende pesa. Asante.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuna rafiki yangu ni vvu+ anaitaji mchumba yupo dar nimwajiri mchumba awe na shughuli yoyote awe na watoto wasizidi 3 au asiwe na mtoto ni sawa umri miaka 30 mpaka 45 tafadhari pm upewe namba yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimekaa ndaniya huu mji wa mabomu wiki ya pili sasa naona nakaribia kupata depression kwani niko mpweke. kwa wadada waliopo Arusha anayehitaji mtu wa kupeana kampani tuwasiliane kwa PM! Mimi ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
Aslm. alykum nataraji mutakuwa wazima wana jf natafuta mwenzangu awe mwanamke kuanzia miaka 20 kuendelea awe Muslim na anaeishi zanzibar vigezo na cfa nyengine ni baada ya kujuana my contact now...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hallow to All Hey guys am back again looking for honest and Good looking husband for my future life. am 37yrs old with two children. pliz if you are below 35 do'nt comment. nina kazi yangu pia...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wana jukwaaaa Mimi ni mtanzania mwenzenu nahitaji kwanamke wa kuustiri moyo wangu na kiwiliwili kwa ajili ya ndoa na sio ngono Mwanamke awe ni miaka 30+ Awe ameolewa na kuachika Awe na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I am new in Dar.seeking s cute, companion gf. PM if Interested.Serious peopl pls
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Back
Top Bottom