awe wa kike asizidi miaka 22 pia awe over eighteen, kwani naamini kwa kushare naye mawazo nitajua nimwanamke wa aina gani anaweza kunifaa kuishi naye.:A S kiss:
Natafuta msichana mwenye umri Kati ya miaka 19 hadi 24 single female mwenye sifa hizi
awe mpole mwelewa na ajue maana ya relation
kidato cha nne ,sita, chuo au muajiriwa
awe mkristo
asiye...
Afya njema, awe tayari kupima HIV, Allowance ya 700,000 kila mwezi apart from matumizi mengine ya kawaida, from date of pregnancy till delivery, and a year after.
After delivery you will be paid...
Mimi ni kijana niliyezaliwa 1987 namtafuta Mwanamke aliyeokoka ambaye yupo tayari kuishi kama Mke pia mwenye wito katika kumtumikia MUNGU..0773 842 849
Natafuta girlfriend ambaye ataelekea kuwa mke panapo majaaliwa...
SIFA ZANGU:Mimi ni mwajiriwa wizara ya mambo ya ndani,kipato cha kawaida!
Umri miaka 24
Nipo mbeya ndipo ninapoishi kwa sasa...
Natafuta marafiki wa jinsia yeyote(male and female) wa kubadilishana mawazo tu na si vinginevyo.awe na elimu yeyote(hajasoma,darasa la 7,kidato cha nne n.k).umri(miaka 18-25.km yupo tayar aingie...
Hello, natafuta marafiki wa kuwasiliana nao, nina miaka 28, mwanaume, ninafanya kazi ktk kampuni ndogo ya micro finance sort of, napenda mpira(manu), kuogelea haswa beach, kusafiri, movies...
Nina miaka 28 elimu yngu ni degree ya computer natafuta msichana mwenye mapenzi ya dhati kama mimi asiye mwongo umri 18-24,mweupe,mfupi 130-150 cm,mlokole,elimu kuanzia form 4 ,wastani si mnene...
Habari zenu marafiki mimi ni mwanaume nina miaka 28 elimu yangu ni degree ya computer natafuta msichana mwenye vigezo hivi awe mke wangu Mungu akipenda
1.Awe ameokoka(Mkristo)
2.Mwenye umri wa...
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo...
mimi ni kijana wa kiume miaka33, rangi ya maji ya kunde,mrefu wastani,nimejaa wastani,mcheshi na mwongeaji, ni mwajiliwa wa sirikali,pia ni mjasiriamali. Napenda mapenzi huru, kwa hiyo naingia...
Mi ni kijana wa miaka 29,mkristo..,elim yangu ni degree na ninafanya kazi sasa mbeya. Natafuta msichana ambae atakuja kuwa mke wangu baadae:awe na umri miaka 21-29 na elim angalau kidato cha...
Kama ww ni mwanamke mwenye kupenda mambo yetu yale(kiutu uzima),unae taka kukumbukia maisha yako ya ujana,usikose kumtafuta huyu jamaa mwenye namba hii 0717059813.
Ni kijana mwenye uwezo wa...
Mimi ni kijana wa miaka 23,niko peke yangu, na mwanafunzi ninayejielewa, namtafuta mrembo wa kuwa na mimi kama wapenzi. Mdada huyu atakeyeridhika na mimi awe na elimu ya kuanzia kidato cha 4...
Bbr wanajf
jamani akinadada shida yangu ni ndogo tu usiku wa kuamkia leo ilikuwa zamu ya mke mkubwa kulala kwake tumeongea mengi sana ila alichonishauri ni ongeze mke mwingine wawe watatu,hivyo...
Nina watoto wawili. sitakii kuzaa tena. kwahiyo ninatafuta mwanamke mgumba ambaye nitaanza naye maisha as soon as posible.
Awe tayari kupima HIV. na awe mkristo. hakuna kigezo kingine kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.