mi kijana nina 27yrs elimu yakawaida,mjasiriamali,msabato,msukuma,mrefu,mweupe,mcheshi,hizo ni baadhi ya sifa zangu kama kuna binti yuko tayari kwa ndoa 0768964697 utani sitaki kama mada haikuhusu...
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri...
Jamani wanajamii, naweza pata girlfrend/mke humu ambae ni mkweli na mvumilivu? Siku zote huwa sipendi kupretend maisha kwani truth sets me free, and honesty is always my best policy. So kwa ufupi...
Habarini wadau wanajf,mimi ni mwanamama miaka 32 natafuta mume tuoane ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58 na awe mwajiriwa wa ofisi/shirika la...
Hi wana JF,
Natumai mko poa..Natafuta galfriend anayeishi Dar wa kuwa nae kimapenzi .Umri wangu ni miaka 28 na nina kazi nzuri tu najimudu kimaisha..Naishi hapa Dar maeneo ya Kurasini.
Ambaye...
hello..everybody ma name is humphrey richard from tabata-dar es salaam am here looking for a women age between 20-28... who knows the trully meaning of love@ if you think u can handle pls contact...
humu asilimia kubwa ni matapeli tu mapenzi ndio waliojaa na hawahawa hata fb ndio wanaotusumbua nenda makanisani ni utapeli mtupu mtu yuko rsdha ajifanya mlokole kisa aibue wanakwaya, njoo mtaani...
Natumaini wazima wote wana Jf. Najitokeza kutafuta nyumba ndogo itakayonifariji. Maudhi ya ndoa yamenifika shingoni. Awe na miaka 30 had ì0 hv. Aliye tayarh Pm plse
Hi mwana jf nimejitokeza hapa kumtafuta dada mmoja ni mwalimu wa shule fulani huko Rombo,Kilimanjaro jina lake ni Silvia tulikuwa tunachat kwenye simu hivi sasa hapatikani sasa naomba kama upo...
Wakuu wa kaya..nipo jamvin leo kutafuta mchumba toka home..yaaan ngara..nipo..dar..nafanyanya kazi..ndo kigezo cha kuamua ivo..coz naona maisha ndo hayahay....najichelewesha mwenyewe....msichana...
Nachokoza tu kwa weledi wangu mdogo kuwa kutafuta rafiki wa kimahaba kwa minajiri ya kuwa mchumba na hatimaye my wife/husband ni kigezo kisichokuwa na msingi na ni cha kibaguzi na unyanyapaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.