Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nina dhamira ya kweli na heshima kubwa natafuta mke awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,yule mwanamke mwenye dhamira ya kweli na heshima zake karibu sana!!mimi nina miaka 43.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina miaka 32 nina elimu wastan nafanyakaz kampun ya vileo tbl natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-kuendelea. Sio utani namaanisha
1 Reactions
46 Replies
9K Views
nimefuatilia toka mbali topic zote za kutafuta waoaji humu ndani nikagundua ni bure kabisa,wadada wengi wako verry serious but mens are not serious,kwann lakini?basi kama huu ni ukumbi wa...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
am 28 yrs naitaj a girl alie seriaz kuolewa after 8 months.elimu yake kuanzia form 4 and above dini ya ukristo km nyingne uwe ready to change. i hv a degree na nipo kazini.sent me PM, then...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni mzaliwa wa moro town,nafanya kazi iringa mjini,natafuta mchumba mwenye sifa kama hizi:mcheshi,mrefu wastani,mwenye busara na kujua umuhimu wangu,unaweza...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari, Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics)...
15 Reactions
122 Replies
22K Views
hiii, am male 27yrs, nahisi kuchoka kuwa mpweke, nahitaji mpenzi wa kuanza maisha naomba aliye serious ani PM au unitumie mail kupitia emmanuelvitalis@tanzaniamail.com, napenda mdada anayejielewa...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
I'm 26 years of age ila kisiwe kikwazo coz umbo langu ni zuri na la kiutu uzima. Sijisifii ila navutia kweli kweli huwa naambiwa hivyo. Nataka mwanamke wa kudate nae tu i dont want a serious...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Members around here, Itz good boy na mgeni kiasi mji huu and npo kikazi World Vision. If ur a best girl, i looking to u for just a company on chating, walkng together, outing even swimming at...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Vigezo: 1. Muislam 2. Elimu ya juu 3. Anajua dini 4. Muonekano mzuri na kuvutia 5. Mweupe au maji ya kunde 6. Umri 24-29 7. Mwenye Tabia Nzuri 8. Kama bado anasoma, awe mwaka wa mwisho. Kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikijana mwnye umri wa 22 tu natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa mungu akipenda. Please women ncheck piusincredible@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume, 37 years of age, ni baba wa watoto wawili, wote wa kike, nimezaa na mwanamke mmoja, watoto wote, aliyekuwa mke wangu kabla ndoa yetu haijavunjika (sababu baadae). Nina masters...
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Wana jf, niko serious! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, ni mwajiriwa! Naomba kwa msichana yeyote aliyetayari kuwa mke na anayepatikana ndani ya ruvuma! Sifa zake ni kama ifuatavyo: 1. Awe...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Habari wana jf; Nina kaka yangu wa karibu sana ambaye anatafuta mwanamke atayekuwa tayari kumzalia mtoto. Bro wangu huyu amehangaika sana, kila mwanamke anayempata hataki kuzaa naye kwani kaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msichana Mrefu Japo asiwe kama jini,mweusi[blackbeauty],umri wake miaka 17-25,elimu 4m four with 2 credits,awe na heshima na mwenye mipango ya mbele katika maisha....Huyu ndo msichana nnaemtaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Akubali hali yake na ajue kuwa na vvu sio mwisho wa maisha. 2. Elimu kuanzia kidato cha sita asiwe tegemezi na awe mchapakazi 3. Asiye na kisasi ajue kuwalinda walio wazima yaani asiyeendelea...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Hey guys natafuta rafik wa kike wa kuchat nae umr kuanzia miaka 20-30 sichagui din wala kabila kama upo tayar ntafute kupitia namba 0656643213 au Email:Ahmadmatola3@gmail.com
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kimejitosheleza. Si wote mnaodhani mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni Prostitute!!! Mtu anaku-PM vizuri,mnaongea na baada ya kuridhika na maelezo yake mnapanga...
7 Reactions
114 Replies
9K Views
I am a kenyan young adult.a christian and very inteligent and creative.i am 21 year old and looking for a girlfriend wakumpenda until marriage.i am chocolate in colour,medium height,not fat...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Habari zenu wanajf Mimi ni msichana natafuta rafiki wa kiume ambaye anaweza kuja kua mume na baba wa watoto wangu.. Ningependa awe kijana mwenye umri kuanzia 31 na asizid 35,Awe mkristu mcha...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom