Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natoa shukrani zangu kwa wanaJF wote waliotoa ushauri ktk hili nitaufanyia kazi ila nina historia ndefu na ya kuhuzunisha sn naumia sn ninapoikumbuka na ninapomuona mwanangu machoz yananitoka kwa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mwenye umri 30yrs nina bachelor ya sheria, natafuta mwanamke mwenye sifa hizi, awe na umri usiozid miaka 30, awe anaumbo zuri maana mi kwa maumbo mazuri ndo furaha yangu, awe na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I'm erick 21 years old nasomea takwim mzumbe ,I like friends who will care about me and show a true love at all of time to me,,when you are the one be with me my fellow.,
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Am 21 yrx old and a serious beliva of God...i am chololate in colour,medium height,not fat n not thin.i am in colage...the rest nitawambia 2...need a lady of btwn 18 to 22 yrs.lavn,hnest n God...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
HI TO you all. Am a young man looking for a young lady between 20 to 24 so as we can love each other. I need to love her truly and she will love I in the same way.....hahahah like a mirror image...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari za muda huu wana JF? Poleni na shughuli na mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta riziki. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta partner wa maisha na leo nimeona nije humu nikiamini mume...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
mim ni kijana miaka 29 ni mfanyabiashara nipo mpanda katavi mkoa mpya nahitaji msichana mcha mungu ili nimuoe umri 18-25
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari yako msomaji, Mimi naishi nje ya nchi, na natafuta mchumba mwenye heshima zake, na mwenye kujielewa,msikivu,muelewa, mwenye elimu na anayependa watoto, anayeweza kujali familia bila...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naitwa Sultani Saidi naishi Dar umri wangu ni miaka 28 natafuta mchumba na hatimae aje kuwa mke wangu wa ndoa Mimi ni mrefu wastani , mweusi ,si mnene ,pia nina mtoto mmjoa Sifa za mke ambae...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mi ni kijana wa ktz,umri wangu ni miaka 29,nahitaj mpenzi ambae atakuja kuwa mke wangu,dini yoyote,umri wake usizid miaka 45,nina mtoto mmoja,nafanyakazi ktk ngos flan,alie tayari anicheck ktk...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hellow JF, napenda kuimba(gospel sana),kuogelea sana, kutembea,mpira(man utd) na kusaidiana. Nazungumza Kingereza vizuri pamoja na Kiswahili,I'm fun,charming,friendly,easy to get along with,honest...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Pitapita yangu leo nimekutana na matangazo mawili yanayofanana: La kwanza likiwa limeandikwa hivi... "SUPER MAPENZI MVUTO - ni dawa ya mvuto wa mapenzi, humvuta mume, mke, mchumba au mpenzi...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Kijana wa kitz hapa,natafuta mwanamke awe mpenzi wangu na baadae awe mke wangu,umri wangu ni miaka 29,umri wa nimtakae ni kuanzia 18 hadi 40,nina mtoto mmoja wa miaka 7,dini yoyote mradi tuelewane...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naitwa Salum Kassim toka Dar es salaam elimu yangu ni kidato cha nne nina umri wa miaka 19 natafuta msichana wa kiislam aliyetayari kuwa nami kwa miaka 2 ya uchumba ili tuweze kujuana kitabia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I am a Tanzanian, mixed (mtanzania na mturuki). degree holder,Mfanyabiashara, Tall, white. Criteria 1.Binti mbantu halisi 2. binti mwenye haiba ya kudeka deka (napenda kubembeleza) 3. sibagui...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
MI mimi ni mvulana(21) bado nasoma . natafuta msicha awe na umri 17-21mrefu awe na rangi yoyote nimeamua kwa sababu nimechoka kupenda nisipopendwa na hisi huyu ajae atanipenda pia tutapendana :)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
:high5:mambo .....wana love connect...... mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,,,,,,natafuta binti asiyezidi miaka 22,ambaye atakuja kuwa mke wangu. awe na dini muislamu,kabila lolote.....siyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
me ni kijana wa kiume niko upanga,na ni mwajiliwa,nahtaj bint mwnye mapenzi ya kweli mungu akipenda cku moja awe mke wangu, umri wa miaka 19/24,awe mkaz wa dar,mrembo wa asili,mwembamba or umbo...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari yenu mmu.Mimi natafuta dada wa hiari. Anaye jiskia mimi nimuite dada anakaribishwa. Lakini anatakiwa awe na tabia nzuri, mcheshi, adabu, sura nzuri na sauti nzuri. Vile vile awe na uwezo wa...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
me ni kijana wa kiume niko upanga,na ni mwajiliwa,nahtaj bint mwnye mapenzi ya kweli mungu akipenda cku moja awe mke wangu, umri wa miaka 19/24,awe mkaz wa dar,mrembo wa asili,mwembamba or umbo la...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom