Nina dhamira ya kweli na heshima kubwa natafuta mke awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,yule mwanamke mwenye dhamira ya kweli na heshima zake karibu sana!!mimi nina miaka 43.
nimefuatilia toka mbali topic zote za kutafuta waoaji humu ndani nikagundua ni bure kabisa,wadada wengi wako verry serious but mens are not serious,kwann lakini?basi kama huu ni ukumbi wa...
am 28 yrs naitaj a girl alie seriaz kuolewa after 8 months.elimu yake kuanzia form 4 and above dini ya ukristo km nyingne uwe ready to change. i hv a degree na nipo kazini.sent me PM, then...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni mzaliwa wa moro town,nafanya kazi iringa mjini,natafuta mchumba mwenye sifa kama hizi:mcheshi,mrefu wastani,mwenye busara na kujua umuhimu wangu,unaweza...
Habari,
Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics)...
hiii, am male 27yrs, nahisi kuchoka kuwa mpweke, nahitaji mpenzi wa kuanza maisha
naomba aliye serious ani PM au unitumie mail kupitia emmanuelvitalis@tanzaniamail.com,
napenda mdada anayejielewa...
I'm 26 years of age ila kisiwe kikwazo coz umbo langu ni zuri na la kiutu uzima. Sijisifii ila navutia kweli kweli huwa naambiwa hivyo. Nataka mwanamke wa kudate nae tu i dont want a serious...
Members around here, Itz good boy na mgeni kiasi mji huu and npo kikazi World Vision. If ur a best girl, i looking to u for just a company on chating, walkng together, outing even swimming at...
Vigezo:
1. Muislam
2. Elimu ya juu
3. Anajua dini
4. Muonekano mzuri na kuvutia
5. Mweupe au maji ya kunde
6. Umri 24-29
7. Mwenye Tabia Nzuri
8. Kama bado anasoma, awe mwaka wa mwisho.
Kama...
Mimi ni mwanaume, 37 years of age, ni baba wa watoto wawili, wote wa kike, nimezaa na mwanamke mmoja, watoto wote, aliyekuwa mke wangu kabla ndoa yetu haijavunjika (sababu baadae). Nina masters...
Wana jf, niko serious! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, ni mwajiriwa! Naomba kwa msichana yeyote aliyetayari kuwa mke na anayepatikana ndani ya ruvuma! Sifa zake ni kama ifuatavyo: 1. Awe...
Habari wana jf;
Nina kaka yangu wa karibu sana ambaye anatafuta mwanamke atayekuwa tayari kumzalia mtoto.
Bro wangu huyu amehangaika sana, kila mwanamke anayempata hataki kuzaa naye kwani kaka...
Msichana Mrefu Japo asiwe kama jini,mweusi[blackbeauty],umri wake miaka 17-25,elimu 4m four with 2 credits,awe na heshima na mwenye mipango ya mbele katika maisha....Huyu ndo msichana nnaemtaka...
1. Akubali hali yake na ajue kuwa na vvu sio mwisho wa maisha.
2. Elimu kuanzia kidato cha sita asiwe tegemezi na awe mchapakazi
3. Asiye na kisasi ajue kuwalinda walio wazima yaani asiyeendelea...
Hey guys natafuta rafik wa kike wa kuchat nae umr kuanzia miaka 20-30 sichagui din wala kabila kama upo tayar ntafute kupitia namba 0656643213 au Email:Ahmadmatola3@gmail.com
Kichwa cha habari kimejitosheleza.
Si wote mnaodhani mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni Prostitute!!!
Mtu anaku-PM vizuri,mnaongea na baada ya kuridhika na maelezo yake mnapanga...
I am a kenyan young adult.a christian and very inteligent and creative.i am 21 year old and looking for a girlfriend wakumpenda until marriage.i am chocolate in colour,medium height,not fat...
Habari zenu wanajf
Mimi ni msichana natafuta rafiki wa kiume ambaye anaweza kuja kua mume na baba wa watoto wangu..
Ningependa awe kijana mwenye umri kuanzia 31 na asizid 35,Awe mkristu mcha...