habari zenu wana JF,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32-...
Habar zenu frnd mm naitw Said yahya naish zenj nna umr wa miak 22 nasoma nipo college high school,sina frnd ndan ya mitandao ya kijamii na hta mtaan kwang coz mtaan kwng kuna mabint wanashobokwa...
I am a married man 40years of age, looking for "nyumba ndogo" with the following qualities,
1. A graduate with at least 25 years, asiye na wivu wa mapenzi bali wa maendeleo
2. Awe mrembo wa...
Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.
Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe...
Wapendwa natafuta mtu wa kubadilishana nae ideas,awe wa jinsia ya kiume miaka 33 na kuendelea,awe hajaoa,mjane,i mean hana mke,pia asiwe na tabia za kima laya ma laya
Mimi ni nimeolewa nina...
Natafuta mwanamke wa kuwa nae karibu tu sio kuoana......mchumba wangu yupo mbali sana:
Najisikia mpweke mno naumia sanaaaaaaaaaaa hadi basi
Sifa hz hapa mbili:
1.awe na mchumba/mume alie mbali au...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35. Natokea Moshi. Nimeajiriwa na pia ni Mjasiriamali. Nitafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo.
1. Mtanzania
2. Umri miaka kati ya 25 hadi 30
3. Elimu, chuo kikuu...
Salamu za Pasaka
Najitokeza kutafuta mpenzi mwenye umri kati ya miaka 35 mpaka 45, awe mkristo, mwenye mwili/mnene, anaejiheshimu, na anayependa kujibidisha hususan katika biashara, awe tayari...
Nahitaji mpenzi,nisaidieni wanajukwaa
Yangu juzi nimeweka tangazo sijapata response ya maana
Jamani tusaidiane,wote sisi tumeumbwa na Mungu,hakuna aliyejiumba,tusibaniane
Serious wife
Umri wangu ni miaka 30,elimu chuo, dini mkristo RC ni mwajiriwa niko hapa dsm natafuta a descent woman ambae atakuwa wife mwenye sifa zifuatazo;
Awe na shahada ya kwanza au zaidi...
Mi nikijana 34 yrs videgree 2, permanent good job. Najitokeza nikiamini kuwa ni njia mojawapo inayofaa kumpata mwenza.
Je ww ni msichana 26-32 yrs, una degree, kazi, atleast 170 cm, hauna mtoto...
kwanza kabisa nawasalimu
mi naitwa sam niko mosh au ukipenda mji wa wagumu kimasomo,niko mwaka wa 3.napoish kabisa ni arusha.nimekuja leo ktafta marafik awe wa kike au wa kiume alie tayari...
habari wana jamii forum,
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,natafuta mwanamke mzima anayejitambua asiye na mme atakayenipenda kwa dhati,nipo kagera,bukoba!
Mawasiliano!
Namba:0756763448...
Habari wanaJF me ni kijana 25 years,Natafuta sex mate sifa:
Msichana 18-23 years,
Nzuri WA sura na umbo Pamoja na Tabia.
Awe kwenye mahusiano(hakiwa single Pia si mbaya)
Awe Tayari kutumia...
habari wangudu,ninatafuta marafiki wenye umri tajwa hapo juu.mimi ni kijana wa rika tajwa.marafiki ninaowatafuta wawe na sifa kuu mbili
.....AWE NA IDEA NA LUGHA YA KIFARANSA
.....AWE...