Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wana jamvi hili Najitambulisha kwenu kwa mara ya kwanza kabisa kutembelea upande huu jana mimi ni kijana 24 aged naenda 25 April kabila langu baba Mbukoba(Haya) na mama...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ni mwanamke wa miaka 32. Dini yangu mkristo(RC), nina mtoto 1 elimu ya Chuo ni mwajiriwa/mjasiliamali natafuta mchumba (aliye serious) mwenye upendo wa dhati umri kati ya 35-40 awe ambaye hajawai...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji41]
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Am male, with university education level, self employed i need a gal to be my wife with the following x'stics, age between 20-26, education more than form four, any color, good behavior with with...
0 Reactions
5 Replies
848 Views
mdada mwenye umri usiozidi miaka 28, mkristo wa kweli asiyevaa suruali, pedo au sketi iliyojuu ya magoti. Mwenye tabia nzuri, elimu mwisho diploma na mcheshi. kwa aliye tayari ni PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa,Mimi ni msichana wa kikristo mwenye miaka 28,naishi dar,nafanyakazi serikalini,natafuta mchumba,awe mlokole,awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea,awe ana kazi yoyote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina dhamira ya kweli natafuta mke.Naitaji mwanamke ambae atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,natafuta mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 38 na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa Ben,{32yrs} mfanyakazi pia nafanya biashara,home ni bongo"changanyikeni ila kwa sasa niko motown kikazi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia 20-29 aliyetayari atume sms hapa +255762229824...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Nina wasiwasi na maisha yangu,nina miaka28hadi sasa sina mchumba,Nipo chuo kwa sasa,kila mwanamke nikimtongoza hataki kabisa,nahisi kama vile nina mkosi,naomba dada anayejua kupenda anitoe...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
mimi ni msichana, natafuta mpenzi wa kweli, sitaki longolongo, awe amesoma anahold degree au masters, awe mweusi kidogo, mtanashati, awe anapenda mpira wa miguu kucheza asiwe na kitambi, awe...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
kuna wakati binadamu anakutana na msongo wa mawazo na asijue wa kumweleza nani, hata kujihisi kama anaishi peke yake kwenye ulimwengu huu, situation ya namna hii ni mbaya.. kwa kulitambua hili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
I recently sent a post "NATAFUTA MCHUMBA" and i got a few ''interested'' ladies, some were above the age limit, others were a match. Of course i expected to get a good number of ladies but i...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni fantansy ambayo nimekuwa nayo kwa muda wa miaka miwili it's a weird fantansy ila msinijudge mimi ni msichana lakini ningetamani sana kama hata kwa siku moja niexperience mapenzi na msichana...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Hello JF members..! Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect! Nimerespond kwa...
4 Reactions
119 Replies
15K Views
Mimi ni kijana miaka yangu ni 32, elimu yangu ni shahada ya pili. Nahitaji rafiki wa kweli ambae kama Mungu akipenda tunaweza kuwa wachumba. Msichana awe na umri usiozidi miaka 26, awe na angalau...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi,naitwa Sean naishi Dar es Salaam tabata in particular,nimuhitimu wa digrii ya 1 ya Banking and finance pale IFM kwa sasa ni Credit Manager ktk organization yetu mpya(micro finance). Napenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Not anymore, thanks.
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishin na ki2 natafuta marafki wa kubadilishana nao mawazo mbalimbali Umri kati ya miaka 19 mpaka 30 napendelea marafki wenye hekima na busara bila kuzingatia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello JF;
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom