Wana Jf,
Naomba radhi kwa wale walionitumia maombi yao.Bahati nzuri kabla sijakutana na yoyote nilikutana na college mate tumeanza mahusiano.
ila muwe na subira kama tukishindwana nitarudi.
I'm serious looking for a GIRL of whom shall be my wife in the near future,the girl must beautiful by nature,aged between 23-27,educated one,have true love.Mostly important she must have...
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa...
Wapendwa wanajamvi mie nlikua nnaomba wanajamvi ambao mnaleta incidences,situations au chochote na kisha wanajamii wanatiririka kwa ushauri,maoni,jokes na wakati mwingine hara kupata exactly...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, ni mrefu, mwembamba, maji ya kunde...elimu yangu ni ya sekondari, ninatafuta mchumba ambae tutaoana baada ya kusomana tabia, sijali rangi,dini wala...
Mwaka huu nimeamua kuspend valentine yang at ma lovely home country,nshachoka na maisha ya abroad,tatizo ntakuwa lonely sana any gal around come on tuspend together,if u ar ready plz reply or pm 4...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 natafuta mchumba anayejielewa nini anafanya ili awe mke wangu wa baadaye....awe na sifa zifuatazo.
awe na miaka kati ya 20-24
awe mkristo
elimu kuanzia...
Natafuta Mwanamke, Binti au Msichana, mwenye umri kuanzia miaka 17-25 ambae tukiendana tunaweza ishi pamoja huko mbeleni.
Mambo mengine tutayazungumza via PM kwa atakae kua tayali.
Habari zenu wanaJF,
Mie nimekuwa katika kutafuta mwenzi wa maisha muda mrefu,na kuna wakati nilikata tamaa baada ya kuwa kila ninayempa proposal yangu anadai yuko na mtu wake.
Sasa,wiki...
Nina miaka 31, elimu ya chuo, muajiliwa, sinywi pombe, sivuti sigara. natafuta binti aliyetayari kuanza maisha ya ndoa awe mkristo, elimu ya chuo, umri kuanzia 25 - 28, mwenye vision ya maisha...
Am a man, aged 32yrs, elimu ya chuo kikuu, na ni mwajiriwa.
Nahtaj msichana ambae yuko serious, anaehtaj kuanza familia; umri kwanzia miaka 22-30, elimu kuanzia kidato cha nne.
Sichagui dini, cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.