Ndugu wana Jf:
Katika jukwaa hili la love connect naamini kwa walio timamu wanaelewe dhumuni ya hili jukwaa.
Lakini mtindo na tabia ya baadhi ya member wa humu Jf kufungua ID na kuanzisha...
Nashukuru kwa wote walio changia thread yangu hii. Walio ni PM na kunishauri. Kwa sasa nimempata mwenzangu ambaye amenifanya nilifute ombi langu kwa dhana kubwa ya kumuheshimu na kuweka uaminifu...
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,mm nina miaka 43,awe mkweli na muwaza na awe mwanamke anaeitaji mume wa maisha.
Nina umri wa miaka 20 Napenda sana kuchat, natafuta mpenzi na marafiki wakike walioko Bukoba mjini tu kwa sababu za kuonana nae! Awe na sifa zifuatazo
>elim kidato cha tatu na kuendelea juu...
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo...
Am boy aged 25,graduated from moshi university college with DIPLOMA OF COOPERATIVE MGT AND ACCOUNTING,recenty am pursuing BACHELOR OF BANKING AND FINANCE at IFM;Am tall,white weight abt 68...
Nipo Dar ni mwanaume,muhitimu wa chuo 2011(degrii ya 1 ya bank and finance),umri wangu 28 na ninafanya kazi,napenda kuogelea hasa beach,muziki,kusafiri
Sent from my BlackBerry 9700 using...
nadhani eti inaweza fika kipindi ikawa sasa kama unatafuta mke au mume, unaruhusu watu watume CV kama unapo omba kazi,then CV zinapitiwa na mnaitwa kwenye usaili na atakae kidhi...
Pls PM me and i will link you with Smart and intelligent
narusha kama alivyotamka sikunji neno.
age not above 33years old
not too tall no too short,
I mean the lady who you wont be tired...
Natafta mke wa kuoa.
SIFA
.Mweupe
.Urefu kuanzia ft 5-6
.Asiwe mnene sana
.Mkristo
.Elimu kuanzia kidato cha 6
.Awe wa Mbeya au Iringa.
MIMI ELIMU YANGU NI SHAHADA YA KWANZA YA UWALIMU.
Wadau hapa jf nadhani ni wazima. Mimi ni mvulana wa miaka 28. Dini christian(rc). Nimeajiriwa mkoani. Natafuta msichana wa kumuoa, awe na vigezo vifuatavyo: 1. Awe na umri wa kati ya miaka 20-27...
mke mwema anae jituma n mwenye kutambua wajibu wake vyema ktk ndoa na mwenye heshima na hadhi ndie anae hitajika umri 20 mpaka 24 mawsiliano 0752842099 lazima awe mkristo au awe tayari kubadil din
mimi ni mtu wa makamo, nina miaka 32, natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuwa mke wangu wa pili. ambaye anaona anaweza akaribie. siangalii umri, dini, rangi wala kabila. nitajibu atakaeni-pm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.