Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
kutokuelewana katika mapenzi huwa kunatokana na wivu uliozidi kias na pia tatizo kubwa jingine huja pale mpenz wako akijua kuwa unampenda sana.
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Hi to you all, Im man aged 31 yrs of age, UDSM graduate in BA Economics, working at Ministry XXXXX in DAR, in search of a lady who knows the meaning of being a wife. Am a southern highlander...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemaliza my first degree of accounting and finance,kiukweli nahitaji msichana mtulivu wa kuja kuishi nae awe serious,mweupe asiwe mrefu sana,umri 18-22,awe mcha Mungu kama umekizi vigezo text me...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
natafuta mume alie na miaka 40 na zaidi.awe ni mfanya kazi au mfanya biashara inayoeleweka.awe alifiwa na mke au alie divorced but kwa sababu maalum.mcha Mungu.kapa upo hapa dondosha email adress...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Naomba mnisamee kwa nitakao wakwaza lakini hii ni dunia ya ushindani, kwa mdada ambae anahisi kwenye mahusiano yake kuna vitu anakosa au mwandani wake hatimizi mfano kwenda chumvini, kuliwa T...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
habari yenu wanajamii... ni matumaini yangu wote ni wazima...jambo langu ni moja,,,,tumekua tunaona post mbalimbali za kutafuta wachumba na wanadada wakitafuta waume......sasa kila mtu kma anataka...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
hellow,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ni mwanafunzi wa chuo flani,nahitaji msichana wa kuwa nae for long term relationship umri usizidi miaka 25,awe mtu wa kujituma na muelewa,for more...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hallo wana jamii. Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26. Nimrefu kidogo, nakaa geita. Nahitaji rafiki wa kike wa kuchati naye. Awe na elimu angalau kidato cha nne. Awe na rangi maji ya kunde awe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mie nina miaka28,Natafuta mdada Mrefu na Meupe na awe mkweli,akitaka aangalie picha yangu Facebook John Bumija,Na awasiliane nami kwa 071233687 au 0759063942
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habar wana Jf. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 natafta bint nitakayefunga nae ndoa. Awe na sifa zifuatazo elimu isiwe chini ya kidato cha sita,asiwe mnene, mchangamfu, japo...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Mimi kijana miaka 30, Nimemaliza university Urusi, proffessional ni daktari MD. Nahitaji mchumba wa kike wa kweli mweupe awe mwembamba au asiwe mnene sana,elimu yoyote,dini mkristo,umri 20-29.Ajue...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
,....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa JF Members; Natafuta mchumba....Mwanamke/Binti au msichana mwenye sifa Plse...:- 1. Awe na Umri miaka 18....hadi....30. 2. Awe hajawahi kuolewa na kuachika 3. Elimu ....form four ....up...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
www.loversguide.com
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Hellow guys!am 25yrz.am looking 4 girls who is read 2 be my friends. chating with them and exchange ideas.if u a read leave phone no or email.And u r age should be btn 18-25.education form 4 to...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Natumai wote wazima, kinyume na hapo ni mapenzi ya mungu. Mm kijana umri wangu 27yrz, nasoma 3rd yr chuo kimoja hapa dar, nahitaji mwanamke just for fun c makubaliano ya ndoa labda ikitokea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuanzia umri wa miaka 30 mpaka 37.kama amezaa asiwe na zaidi ya watoto wawili.Mwalimu atapewa kipao mbele. PM faster.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muda mrefu sasa natafuta MKE hapa lakini bila mafanikio,naomba mnisaidie ndg zangu kama kuna mahali pengine naweza kupata mke naomba mnielekeze huko labda nitabaatika kupata mke huko.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari ndugu!! Hii trend n kwa mwanamke ambaye yuko serious na anahitaji ndoa !! Umri 18-22. Umri wangu 25. Awe ana maadili mema. Na yamkin umekaa ukimuomba Mungu kwa muda mrefu akupe mume...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom