Hici kweli kuna mwanamke mzuri aliye umbika amekaa kama mimi anatafuta aliye single kwa upande wangu siamini labda mniambie nyie kwa sababu naona wote ni players
Napenda kuwa na rafiki ambaye kwa mipango yangu mwisho wa siku ndio awe mchumba wangu,vigezo awe mwanafunzi wa chuo au mwalamu nawapa kipaumbele walimu kutokana na nature ya kazi zao kwani huweza...
Hamjambo wa MMU,
Mimi ni kibebi, jinsia yangu ni mwanamke, nina umri wa miaka 29 ninaishi abroad (Ulaya). Rangi ya ngozi yangu ni maji ya kunde, mrefu wastani, sijawahi kuolewa kabla, na elimu...
Natafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 26 mwenye sifa zifuatazo;
awe mkristo
awe na elimu kuanzia kidato cha nne
asiwe na mtoto na awe hajawahi kuolewa. Kwa alie tayari ani pm ili...
Jamani kwa walimu wapya wa kike waliopangwa mikoa ya arusha na manyara ambao wapo single natangaza rasmi kwamba nahitaji mwenza wa kuanzisha naye maisha, awe na sura nzuri na asiwe mnene sana. kwa...
Must b reasonably cute sio kivile ila asiwe mbaya externaly, internaly huwezi jua.
Awe mature hata kama ni mke wa mtu poa tu.
Asipende kuganda yani time time
guaranteed:
not handsome bt nt...
Naitaji mwana mke mwenye muonekano kama katika picha hapo chini .
1. Umri usizidi 29years.
2. Elimu yoyote ile, awe kasoma au hajasoma sawa.
3. Dini yoyote ile.
4. Kabira yoyote...
NI KWELI NINA MTAFUTA ILA ANATAKIWA AWE NA SIFA HIZI:
1. MWANAMKE AMBAYE NI MWALIMU
2. UMRI UNAO MRUHUSU KUPATA MTOTO
3. AWE AMEISHA YAONA MAISHA NA KJUA NINI MAANA YA MAISHA!
4. AWE ANATOKEA...
Habarin za saa hizi wanaJF,
mimi kijana wa miaka 33 naishi Dsm,nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo hapo chini, kwa ajili mahusiano ili tukijaliwa tutengeneza maisha kabisa"
1. anayehitajii...
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto...
Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30
MUME INABIDI...
Nina
miaka 35 black beuty, umbo la kibantu nilishawahi kuolewa na nina
watoto watatu, ni mkristo,mpole, mvumilivu na mcha Mungu, mwenza awe mwenye upendo, heshima, mvumilivu
na...
Sifa zake awe mrefu usiopungua futi tano
sichagui dini wala kabila
elimu yake kidatochanne na kuendelea
itakuwa poa sana akiwa na makalio makubwa ya hamasa
awetayari kuishi mkoa wa mbeya...
Naitwa Mashaka,msukuma naishi mwanza,umri wangu ni miaka 26,nasoma nna pia nafanya kazi,mrefu wa wastani,mwili wa wastan.natafuta mchumba/mpenzi awe na sifa zifuatazo;
-mwili wa wastani au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.