Habari wana jamvi hili
Najitambulisha kwenu kwa mara ya kwanza kabisa kutembelea upande huu jana
mimi ni kijana 24 aged naenda 25 April kabila langu baba Mbukoba(Haya) na mama...
Ni mwanamke wa miaka 32. Dini yangu mkristo(RC), nina mtoto 1 elimu ya Chuo ni mwajiriwa/mjasiliamali natafuta mchumba (aliye serious) mwenye upendo wa dhati umri kati ya 35-40 awe ambaye hajawai...
Am male, with university education level, self employed i need a gal to be my wife with the following x'stics, age between 20-26, education more than form four, any color, good behavior with with...
mdada mwenye umri usiozidi miaka 28, mkristo wa kweli asiyevaa suruali, pedo au sketi iliyojuu ya magoti. Mwenye tabia nzuri, elimu mwisho diploma na mcheshi. kwa aliye tayari ni PM.
Habari zenu wapendwa,Mimi ni msichana wa kikristo mwenye miaka 28,naishi dar,nafanyakazi serikalini,natafuta mchumba,awe mlokole,awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea,awe ana kazi yoyote...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina dhamira ya kweli natafuta mke.Naitaji mwanamke ambae atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,natafuta mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 38 na...
Naitwa Ben,{32yrs} mfanyakazi pia nafanya biashara,home ni bongo"changanyikeni ila kwa sasa niko motown kikazi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia 20-29 aliyetayari atume sms hapa +255762229824...
Nina wasiwasi na maisha yangu,nina miaka28hadi sasa sina mchumba,Nipo chuo kwa sasa,kila mwanamke nikimtongoza hataki kabisa,nahisi kama vile nina mkosi,naomba dada anayejua kupenda anitoe...
kuna wakati binadamu anakutana na msongo wa mawazo na asijue wa kumweleza nani, hata kujihisi kama anaishi peke yake kwenye ulimwengu huu, situation ya namna hii ni mbaya.. kwa kulitambua hili...
I recently sent a post "NATAFUTA MCHUMBA" and i got a few ''interested'' ladies, some were above the age limit, others were a match. Of course i expected to get a good number of ladies but i...
Ni fantansy ambayo nimekuwa nayo kwa muda wa miaka miwili
it's a weird fantansy ila msinijudge
mimi ni msichana lakini ningetamani sana kama hata kwa siku moja niexperience mapenzi na msichana...
Hello JF members..!
Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!
Nimerespond kwa...
Mimi ni kijana miaka yangu ni 32, elimu yangu ni shahada ya pili. Nahitaji rafiki wa kweli ambae kama Mungu akipenda tunaweza kuwa wachumba. Msichana awe na umri usiozidi miaka 26, awe na angalau...
Hi,naitwa Sean naishi Dar es Salaam tabata in particular,nimuhitimu wa digrii ya 1 ya Banking and finance pale IFM kwa sasa ni Credit Manager ktk organization yetu mpya(micro finance). Napenda...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishin na ki2 natafuta marafki wa kubadilishana nao mawazo mbalimbali Umri kati ya miaka 19 mpaka 30 napendelea marafki wenye hekima na busara bila kuzingatia...