Wana jf.
Mwanzoni nilikuwa mbishi wa kuamini kama hii page inaweza kuunganisha watu lakini baada ya kufanya utafiti kwa muda mfupi nimeshapata watu watatu hapa mjini kwangu waliounganishwa na...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaonya wanaume wanaoleta mambo ya utani katika sehemu hii muhimu. Binafsi sijapenda kabisa na tabia yenu mnayoionyesha kwa wanawake/wadada. Kama hamna nia ya...
zaidi ya rafiki anahitajika awe mchamungu akiwa islamic itakuwa poa sana,elimu ya graguate or diploma itapendeza akiwa teacher au another job, age 25-28,asiwe anajichumbua,awe...
Mimi ni mkaka, mwaminifu,nina umri wa miaka 42,namtafuta mdada mwenye umri kati ya 22-35 awe mpenzi wangu,napendelea wadada weupe,lakini wasiojikirimu (wasiojichubua)weupe wao uwe natural,au akiw...
Nina miaka28,nipo mpweke,me napenda mwanamke ambaye ni mrefu,awe mweupe kiasi,awe mwl wa shule ya msingi au sekondari,awe mwenyeji wa mkoa wa kilimanjaro,sifa zangu,mimi ni maji kunde,urefu...
natafuta mchumba,pia elimu iwe kuanzia kidato cha.iv na awe anajishughulisha ili tuweze kuya jenga vizuri mpaka kufikia lengo la kuitwa mke.tuwasiliane kwa namba 0715696534/0765863532
Mimi ni kijana miaka 32, kutoka Kigoma, wilaya ya Kasulu, kwa sasa niko Ujerumani masomoni (PhD), na natarajia kumaliza mwakani mwanzoni.
Mpaka sasa sijaoa na msichana niliyemwamini, na...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22,natafuta rafiki wa kike mwaminifu na anayejiheshimu.Umri kati ya miaka 18-21.atakayekuwa tayari anicheki kupitia email yangu.
antipasreginald@gmail.com. Au...
Natafuta msichana mwenye umri wa kati ya 20 - 23 awe ni mchangamfu na msafi
awe na moyo wa upendo ka wote na mvumilivu alie na roho ya kuishi mazingira tofauti tofauti
Sifa zangu hizi hapa
1...
Mimi nipo nje ya nchi na nategemea kurudi tanzania muda si mrefu. Nitafurahi sana kama nitapata msichana aliye serious na mahusiano ikiwezekana hadi future . umri awe na miaka kati ya miaka 19...
me ni kijana wa kiume nina miaka 24,makazi yangu ni jijini Mwanza,nimeamua kushea story yangu ili niweze kupata ushauri kwa
watu mbali mbali juu ya nini nifanye baada ya kutendwa katika kila...
Mambo vipi wana mmu nahisi hapa ni mahali sahihi pa mimi kumtafuta .gf ambaye baadae anaweza kuja kuwa my future wife please atakayekuwa interested naomba ani pm kwa umbile mimi.ni...
MIMI NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 27, MKRISTO, SIJAWAHI KUOA NA SINA MTOTO, SITUMII KILEVI CHOCHOTE NA NI MWAJIRIWA WA SERIKALI. HAKIKA NIPO SERIOUS NA NIMEAMUA KWA DHATI KABISA KUTOKA MOYONI...
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa hizi: awe na Kazi.awe na Nyumba ya kuishi. Awe tayari kuwa katika ndoa wake zaidi ya mmoja.awe naheshima. Alie tayari awake namba yake hapa
habari members natafuta mchumba wa kike umri usidi miaka 30 awe msomi wa chuo kikuu na mwajiliwa/anafanya kaz mwenye tabia za kupendeza na mkristo mim nafanya kazi serikalini 0779971855