SIMON COSTANTINE WA DAR MASAKI,,NATAFUTA RAFIKI WA KIKE WA KUCHATI NAE-0753414392
NAITWA THAMIN JUMA KUTOKA KIGOMA,NATAFUTA RAFIKI WA KUCHATI NAE AMABAYE YUPO TAYARI ANITAFUTE-0757 335151...
Kama ww ni muhitaji haswa na unapenda kuishi na mume atakaye kupenda kwa dhat na uyafurahie mapenz, njoo kwangu!!
Angalizo sihitaj mwanamke mrembo, nahitaj wakawaida tutakayeenda ktk...
Mimi ni kijana wa miaka 20 natafuta marafikiwa kuchat nao kujuana hali, kutembeleana nao yaan ku have fun kama ma best friend...ukiwa tayari naomba tuwasiliane,plz uni PM.
My profile.
Age: 25-27
nationality:tanzanian
colour:black
education:bachelor degree
interest in woman with the following features.
Age:22-26
nationality:any from africa
colour:natural...
Ninatafuta mdada wa miaka kati ya 20-30 wa elimu ya angalau kuanzia Form-4,Mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa Sabato,aliyetayari kuanzisha mahusiano na mimi ambayo yatapelekea uchumba na hatimaye...
love connect inamaana gani kwa lugha ya kiswahili...? maana kwa uelewa wangu mm ni sehem ambapo unaweza kutana na mtu mwenye hitaji la (mme)(mke) au rafiki..... why mtu akipost anahitaji rafiki au...
Natafuta mchumba anaye weza kumudau kukaa nami.
Sifa zote za kuwa binti mzuri.si uzuri tu awe mzuri wa tabia na awe mwelewa wa mapenzi.
Endapo unajishuku nitafute tuwasiliane kupitia
facebook...
Mwanadada mwalimu unatafutwa sana na mimi mwl mwenzio pengine mambo yakiwa sawa tutakuwa tunafarijiana kwa kudhalauliwa na serikali yetu sikivu, chonde mwenye sifa hiyo ya udada unakaribishwa...
kwa ufupi nina kazi na kipato changu naridhika nacho,naishi peke yangu sijaoa na sina mtoto,umri wangu miaka 26.elimu degree,sina plan yoyote ya kuoa au kupata mtoto nahtaji kustarehe tu,huo ndo...
Nahitaji rafiki wa kike kutoka pande za kaskazini, kati, kanda ya ziwa mwa Tz, awe mwajiliwa serkalin/mashirika binafsi, umri chin ya miaka 23 kwa mawasiliano zaidi 0769396328 message zote...
Salam Wadau
Najitokeza hapa jukwaani kutafuta mwanamke ambae tukielewana aje kuwa mke wangu, awe mnene, rangi yoyote, elimu kuanzia kidato cha 4 umri kati ya 35-45. kama ana mtoto asizidi mmoja...
Natafuta mpenzi mwenye umri usiozidi miaka 21.awe mwenye utimamu wa kuchanganua na kupambanua mambo kwa uelewa wa akili.awe mrefu saiz ya wastani,awe mrembo anayefahamu lugha mbili yaani english...
Natafuta rafiki wa kike,
Awe na umri kati ya miaka 18-24,
.tabia nzuri.
.mcha mungu.
.mwenye uelewa na mipango ya maisha.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Aliye tayari ani PM.
Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.