Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe...
Nitagombea uongozi mkubwa katika nchi hii. Naitaji mke wa mkataba mwenye sifa zifuatazo. Awe na mvuto kwa jamii. Ajue kingereza vizuri, mcheshi, mwanaharakati, awe mvumilivu kisiasa. Umri wake uwe...
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
awe atatoka singida
elimu kiwango cha chini degree
awe mweupe
awe mcheshi
mrefu kama cm 166
awe na umri usiopungua 22 na usizidi 35
maelezo mengine atapata...
Mimi ni kijana mstaarabu mwenye umri usiozidi miaka 25 .leo hii kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hizi kutafuta mchumba .kwa upande wa kazi mimi ni mjasiriamali toka mkoa wa Kilimanjaro...
Natafuta Mchumba wa kuanza naye Maisha.
Naitwa Fatma Ally ni mtanzania kutoka Zanzibar ila kwa sasa naishi hapa Doha,Qatar na ninafanya kazi na kampuni ya chakula hapa Doha,Ninatafuta mchumba...
From kahama shy tz am looking a wisdom girl & beautiful whenever you're age between 18 up to 22 for more info call me or text 789372822 all text i'll reply soon as possible.
I have been observing the advertisements in JF about love and noted that, whenever a male needs a girlfriend will always specify age that is below his while a female specifies above her's. Can...
JAMANI MIMI SITANII NIKO SERIOUS NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA MKRISTO,UMRI 22-28,UMRI WANGU NI MIAKA 28 AWE MKWELI MSAFI ASIWE NA MTOTO(MIMI SINA),UMBO LA KAWAIDA ELIMU YEYOTE KABILA LOLOTE RANGI...
Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na...
acha niitwe mbaguzi... umri wangu ni miaka..30.. elim yangu dgree ya madin.. sijawahi owa wala sina mtoto.!! nafanya kazi za kuhama hama yani miezi 6 MTWARA na 6 MARA... nahitaji mchumba awe na...
Am zakayo from kaham shy tz am looking a wisdom girl n beautiful whenever you're more info call or text n soon possible i'll reply a realy answer
789372822
Uko wapi wa kunitoa upweke jamani..? Nimekuwa nikisoma thread humu za kutafuta wenza nami nimeona nijiunge ili niweze kutafuta mwenza. Please nipo serious. Mi ni mwanamke mwenye miaka...
awali ya yote namshukuru mungu kwa kuamuka salama kabisa kwa kweli nilipata mwanamke kwa njia ya email ambaye tulikuwa tunachat naye kalibia miezi mitano hatujaonana isipokuwa picha alinitumia na...
Alie serious kama mie tuwasiliane basi.
Ambae yupo tayari kusonga mbele nami kimaisha.
Naomba niandikie barua ndefu jieleze kwa makini juu yako, kama vile umri ulio nao, unapoishi, dini yako...
i need some1 to make me happy jaman.coz nimekuwa na mawazo sana ya maisha so nahitaji mpenz wa kike 2farijiane nae na kupunguza baadhi ya stress. Plz kama upo teyari nisms through dis no 0656020122
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.