Nimezaa na mdada ambaye kiukweli ckuwa na wala cna malengo naye kimaisha, cwezi sema ni bahati mbaya no! Ila nihali ambayo unapofanya ni kama hujitambui vile.ishu nikwamba naishi mbali na mchumba...
km kichwa cha habari kinavyojieleza kuna mijitu humu kazi kukosoa wenzao tu hili ni jukwaa la love connect it means ukiingia humu unalijua lengo la humu ni connection za maloveee tu sasa m2 kaweka...
"Inanipa shida kidogo kuona kila mtu anaanzisha thread ya kutafuta Mchumba kwa kasi hii:
kabla hujaweka thread yako hapa hebu jiulize maswali yafuatayo yatakusaidia ktk safari unayoitaka KUANZA IT...
Hellow,naitwa Sean nina miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana pale IFM,ninaishi Dsm. Natafuta marafiki,any gender maana I'm interested in networking pia,I'm not married nor in anything...
Habari wana jf,mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27, nna elimu ya chuo kikuu,
kwa sasa nnafanya kazi katika taasisi binafsi. natafuta mchumba ambaye atakuwa mume wangu.
awe na umri angalau...
Mimi ni mwanaume nina miaka 23 nipo chuo mwaka wa tatu natafta msichana wa kubadilishana mawazo kwa njia ya email awe kutoka kanda ya ziwa wachaga na wajita tafadhali email yangu ni...
Kipekee nipende kumshukuru Mungu kwakuwa ni kwa neema tu! Mungu ana sababu na anatupenda kuliko sisi tunmavyojipenda wenyewe! Well siku 365 ni nyingi mno lakini ni fupi ukiwa na...
Kama wewe ni mwanamke mpenda ideas mpya za kimaisha,jiunge nami katika kubadilishana mawazo ili tuishi vyema hapa mjini na Tanzania kwa ujumla.Uwe na umri wa miaka 18-26. Mimi jina langu ni hili...
Mi ni kijana, urefu 178cm, 37yrs ninatafuta mwanamke wa kuoa wenye umri kati ya 27-33yrs, mkristo, at least degree, asiwe mnene pls na mweupe kiasi ila siyo wa mkorogo.
Kama uko interested...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.