Natafuta binti mchangamfu,mwenye upendo wa kweli..dini na kabila lolote...umri usizidi miaka 35..rangi yoyote mnene wa wastani.Kama una sifa hizi tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano
Natafuta mwanamke wa kuwa mpenzi wangu.
Awe wa dini yeyote, umri haujalishi.
Sijali kama atakuwa na mapenzi ya kweli au la.
Kama ni mke wa mtu niko tayari kumuoa iwapo mumewe ataugundua...
Baada ya kukosa nilichohitaji sasa narudi kwa mwendo wa flirting partner.PM only mambo ya kuombana namba za simu akha.Umri tu ndio kigezo muhimu.Awe mtu mzima 40+ years.
Hellow waTz nataka mchumba mzuri atakaye nifaa, but hawa mabint nimeshindwa kuwaelewa kwani ina semekana kwamba wao huwa hawapendi bali hufunzwa kupenda na wanaume wanao wataka ,kama ni hivyo je...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
Natafuta girlfriend awe na miaka kati ya 18 na 23
kwa yoyote aliye tayar ani PM
SIFA ZANGU
ni mrefu wa kawaida
nina rangi ya maji ya kunde
si mnene wala si mwembamba ni wakawaida
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na...
Tabia nikitu cha kwanza, Mcha MUNGU Mpenda maendeleo mwenye kukubaliana na maisha yaaina yote. M REFU KIDOGO Rangi haijarishi sana dini mkirsto hasa msabato itakiwa poa sana T UWASILIANE LWA NAMBA...
habari za leo wa jf ? anae tafuta hachoki bali hupumzika tu, leo naamua niendelee na zowezi la usaili
umri wangu ni 35 jisia mme nina watoto 2. elimu ataijuwa badae, rangi yangu mweusi...
Habari zenyu wanajamvi.
Kusema kweli hili jukwaa na Love Connect binafsi naliheshimu mno,naamini litasuluhisha hitaji la mtima wange. Ni Siku nyingi nimekuwa nahitaji kufunguka nami nimpate...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
Habari ,
Naitwa Saidi, natafuta mchumba ili tufike kwenye ndoa. Mchumba ninayemtafuta awe mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 25. Awe na elimu ya chuo kikuu, awe muislam, mkweli, mwaminifu...
Habari ,
Naitwa Saidi, natafuta mchumba ili tufike kwenye ndoa. Mchumba ninayemtafuta awe mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 25. Awe na elimu ya chuo kikuu au form six, awe muislam, mkweli...
hallo jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 naishi mwanza natafuta binti wa kuoa mwenye sifa hizi mrefu wastani,maji ya kunde,asiwe mnene sana,mcha mungu.na awe anafanya kazi.kama yupo...
NYOTA YA PUNDA NA MIZANI
Mpate mpenzi siku ya Ijumaa kwenye sherehe za ngoma saa 3 au saa 9, vaa nguo rangi mbili juu nyekundu chini njano. Mshike mkono mara kwa mara, hakikisha mnakula kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.