mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 natafuta mpenzi wa kumuoa kwa baadae kama atakuwa na tabia nzuri kam upo tayari piga namba 0656179600 jua kuwa namaanisha. maana niliwahi kuandika lakini...
habari zenu wanajamvi.
Mimi ni binti wa kike, ambaye moyo wangu u mpweke. kwamara ya kwanza najitokeza jamvini kumtafuta rafiki wa kiume mwenye nia ya dhati ya kuwa na mahusiano ambayo yatalenga...
habarini wanajf mimi ni mkaka nna shida na mdada yeyote ambae amechaguliwa pale chuoni nna mambo mazuri na ya heshima nataka anisaidie. naomba tuwasiliane kwa email, nkwilehii@gmail.com au namba...
Wana jf wa Kahama mimekua hapa Kahama kwa mda wa mwaka mmoja sasa lakini sijapata mtu wa kuhusiana nae mahusiano ya dhati hivyo kama kuna mtu yuko interested naomba ani PM. Mie ni mwanamme mwenye...
Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 na kuendelea,kama unaitaji...
natafuta rafiki wa kike awe mchesh na asiwe mkaid kuelewa awe na umri kat ya miaka 22 na kuendelea awe anapenda sana michezo km basketball na km upo tayari piga 0785821851
SALUT wana JF.
Mimi ni kijana wa kitanzania, mwenye maadil mema, ila tatizo siwezi kutongoza. Nkimkaribia mwanamke huwa natetemeka na nakosa cha kusema. umri unaenda na uzee unakaribia.
Natafuta...
Hivi ni kwa nn Madada zetu ama Mabinti wameingiwa na kasumba ya kutojikubali maumbile yao nakukimbilia kuyaongeza?
Unafikiri ni kwani wanafanya hivyo? Katika utafiti wangu wa maoni: Kuna baadhi...
Eti nimetafuta mpenzi apa Jf moja kati ya sifa nilitaka awe single kuna jamaa akansema kumpata single ktk dunia hii labda usubirie anaezaliwa leo! Kama ndo hvyo basi tubanane umo umo kwa wake za...
wanajamii mimi ninarafiki yangu ambaye ni mwathirika wa HIV anatafuta mchumba wa kumuoa mwenyetatizo kama lake yeye anafanya kazi inayomwingizia kipato kiasi na ni msomi, so sad co hakupenda kuwa...
mimi ni naitwa mussa wa arusha. narudia tena kenye janvi hili natafuta mchumba ambaye atayekuwa mke wangu. akiwa mikoa hii dar es saalam, arusha, kilimanjaro, singida, manyara na tanga itakuwavizu...
Nahitaji kuolewa,niwe na familia yangu nitulie kwangu lakin kila anaejitokeza anakuwa tayari ana mtu mwingine kitu ambacho mi sitaki,yaan nawaza mpaka ht nashindwa nifanyeje manake umri nao km...
uwe mkubwa futi kumi na mbili kwa kumi na tato utoshe kuweka kitanda changu cha sita kwa sita
maeneo ya sinza kodi iwe bei rahisi kidogo na umeme na maji viwe vya uhakika
seeking 4 a commited girl should be born again christian, of 18 to 20 years taking or has diploma or degree of any business courses preferably from Dar es salaam colleges
Mi naitwa MUSSA wa ARUSHA, naitaji mwanamke ambaye yuko sirious anayeitaji kuolewa na ambaye anaishi arusha ili tuweze kuonana kwa urahisi
SIFA ZANGU
ELIMU: chuo kikuu
KAZI : nimeajiriwa...
mi nimsichana natafuta mwanaume mwenye msimamo kwenye maisha awe mwaminifu mwenye kujali na kunipenda kwa dhat, awe mweupe au maji ya kunde si mrefu sana na awe anafanya kazi inayomwingizia kipato...
Salam! natafuta mke wa kuoa, awe mnene,hata akiwa na mtoto mmoja sio mbaya, umri usipungue miaka 30 kwenda juu ,mkristu, mimi nina miaka 36 kwa sasa, nina mtoto mmoja wa kiume, nafanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.