Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kama wewe ni binti, nakualika tuongee kupitia Skype, Google talk, mie ni mwanaume, nipm kwa ajili ya kubadilishana usernames. Mazungumzo yote na uwezekano wa kuanzisha uhusiano wa aina yoyote au...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM. Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam, mpole na mwenye kujiheshimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu kutafuta mchumba humu ndani.....all in all ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious.... sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii chochote kile...
1 Reactions
130 Replies
28K Views
Habari zenu wanajf. mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33. Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Am Johnson, nina miaka 32, elimu ya chuo kikuu,ni mwajiriwa. Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo; 1. Elimu; kuanzia kidato cha nne 2. Mwonekano; asiwe mwembamba sana, mfupi sana, wala mrefu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mambo vipi waungwana naombeni munisaidie nitampataje mpenzi wa kweli nipo katiaka harakati za kumtafuta mchumba nisaidieni:flypig:
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea
2 Reactions
31 Replies
4K Views
natafuta rafiki (strictly platonic) wa kwenda nae gym na kupiga stori za kawaida wakati wa jioni. vigezo awe na usafiri binafsi awe wa eneo lolote dar es salaam ajilipie membership mwenyewe tuma...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamani salama! Nilikua na mpenzi niliempata facebook lakini yuko nje ya TZ, nikapata mwengin wa twittr ambye alikua celebrity toka Niger xo 2kashndwana. Nimeona nitafute kutoka hapa jf labda...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Natafuta msichana wa kumuoa umri kuanzia miaka 20-22 elimu form 4 awe anaupenda na anaufahamu mkoa wa kilimanjaro when you want to marry me please tuwasiliane email amedeusmushi88@gmail.com
0 Reactions
15 Replies
2K Views
if you can only open your eyes you will find a good man or woman is sitting all along infront of you waiting for you to say a word. Mke au Mume mwema atoka kwa Mungu if you just blive and have...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mtumishi wa serikali ninaelimu ya chuo kikuu ninatafuta mchumba wa kike awe na umri kati ya miaka 20 had 27 awe mcha mungu awe na elimu ya kdt cha 4 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi kwa kile kinachonisibu, mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba na hatimaye awe mke wa kuoa therefore kwa yeyote yule aliye tayari tuwasiliane...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kweli hakunaga darasa la mapenzi na experience ya penzi inatofautiana, mimi nataka kuaccumulate love experience so i welcome women to enjoy luv with me and share the experience. Ni muhimu huyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anatafutwa mchumba mwanamume mtu mzima, kwa maana ya maturity. mtafutaji ni dada yangu ni mjane mkristo ana umri wa miaka 55 na watoto wawili. Ni mkulima mjasiriamali. Ni mcheshi na mcha Mungu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
mimi idukilo natafuta mchumba wa kuowa ,awe na sifa zifuatazo 1) mmcha mungu 2) awe na elimu kuanzia kidato cha nne 3) awe na urefu usizidi 165cm 4) asiwe mnene sana au mwembamba sana,awe size ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
seriously, natamani kuwa na mtu anipendae nami nimpende tusogeze maisha. Am 32 By age nina one kid. any who is above my age ur invited mie ni mkristo mwenye mtoto utapewa kipaumbele. Kwa wale...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi Jamani mi natafuta binti just for pleasure labda mambo mengine baadae alie tayari ani pm tuwasiliane lakini asizidi 27years looking forward for ur response. Mimi niko wastani tu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MIMI NIKIJANA WA KITANZANIA, NAJITOKEZA KUTAFUTA MWANAMKE AMBAYE ATAKUWA MKE WANG WA BAADAE SIFA ZANGU 1. ELIMU : CHUO KIKUU 2. KAZI : NIMEAJIRIWA SERIKALINI 3. UMRI : 29YR 4. UMBO : MWILI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom