On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili...
Jamani wanajamvi!
Mimi ni mdau na mchangiaji mzuri wa maada mbalimbali hapa jamvini,
Kadri cku zinavyosonga mbele najikuta nafurahishwa sana comments za "madame x" mpaka naanza kutaman walau...
Ninamchumba sinamuda nae mrefu ninamiezi nae3 ndani ya miezi hii aliniforce ili alete barua kwe2 nikamruhusu. Nikackia kumbe alikuwa na mwanamke kampa mimba nikajamuuliza kakubali kama alikuwa nae...
Mimi ni mwanaume,miaka 28,mkristo na SIKO tayari kubadili dini au kuwa na ndoa ya mseto, ni mrefu, mweupe,siyo mwembamba wala mnene, elimu yangu ni chuo kikuu, nina kazi inayoniwezesha kula na...
Hi everyone,
:A S 465:Iam a man aged twentieth looking for a mature young woman for a friendship. The girl that Iam looking for should be a graduate in any discipline, at the age of 20 to 27...
mimi ni mwanaume ninaishi dar nimeamaliza chuo kikuu kwa sasa ninahitaji mpenzi,rafiki wa karibu vyovyote vile but i need serious relationship kwa umbile ni mrefu, mweusi,kwa yeyote atakayekuwa...
Mimi ni mwanaume wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya...
mimi ni mwanaume 27yrs,nahitaji mwanamke wa kuwa nae na baadae awe wife awe chini ya miaka yangu,dini yoyote ila mimi nakula kitimoto!sharti apatikane dodoma na awe free kuonana nami!
NATAFUTA MPENZI"
1.AWE MZURI
2.AWE MSAFI
3.AWE NA HESHIMA KWA WATU WOTE
4.TABIA NZURI
5.ASIPENDE PESA
6.AWE NA MIAKA ISIZIDI 20
7.AWE MVUMILIVU
8.AJUE KUPENDA
9.SICHAGUI HALI..MASKINI AU WAKISHUA...
Mimi ni kijana wa kiume natafuta rafiki wa kike (sio mapenzi) kwa ajili ya kushauriana na Kushare mambo mbali mbali ya kimaisha. Ni vyema rafiki huyo akawa na umri kati ya miaka 18-25 na elimu ya...
Nawasalimu Wapendwa wanajamii,
Mimi ni mkaka/Mbaba wa miaka 38 na ushehe, mrefu kiasi na maji ya kunde. Nina maisha yangu na si tegemezi.
Ninahitaji mama/dada aliepevuka kwa akili anaejua maisha...
Nipo sirious kwa jambo hilo.
aliyetayari ani-pm bt awe mwembamba wastani,mwaminifu,mkweli,mkristo au aliyetayari kuwa mkristo,awe anavutia,color-chocolate to white,mpenda na mcha Mungu,alie na...
Am looking for a husband,
Sifa: mwembamba kiasi, mrefu, awe msomi at list first degree, independent mind, caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in everything...
I am a guy and recently I have joined Jf....In my years of living I have met so many people in different social networks.In jf...i hope to meet someone special but should be the opposite sex whom...
Haya mabinti bahati yenu hiyo sasa,aliyetayari pls aniwekee PM.
SIFA
Asiwe mlevi.
Awe mrembo.
Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
Awe tayari kuishi na mimi mpaka atakapopata mimba,baada ya hapo...
Namaanisha Mwanza na Musoma na vitongoji vyake,
Mimi ni mgeni huku,nimekuja kikazi pande hizi, natafuta kampani(girls only) tubadilishane mawazo(zaidi ya kimaendeleo) nyakati za jioni(baada ya...