I'm looking for the love of my life,to spend the rest of my life with en i promise to love en to care for her en to always make her happy as she deserves,if you are the one please let me know.
Sababu ya watu wawil kujuana na kuanzisha uhusiano ni mikusanyiko au matukio mbalimbali. Kwa binafsi najua jf ndio sehemu pekee ya kumuona na kumjua yule ambaye nadhani yupo kwa ajil yangu. Haya...
Nahitaji mwenzi wa maisha mwenye sifa hizi. 1. Awe mwaminifu 2. Mkweli na mpole 3. Elimu Diploma ama Bachelor degree. 4. Kabila yoyote, msukuma, msambaa, mnyakyusa, muha ama mmakonde watapewa...
Humu jf nimegundua kitu kua wengi wanaoandika kua wanatafuta wachumba mume/mke huwa wanaandika tu kujifurahisha coz nna kaka yangu serious anataka kuoa huwa anaingia jf hila hawezi ku post yy...
Upweke umenichosha waungwana. Natafuta mpenzi. Awe msichana asiyezidi miaka 27. Cjali sura, ila ni mapenz ya dhat tu. Ukitaka kunijua 0718-651585. I need to be a man and not a boy. Any girl to...
habari za hapa JF mimi ni mgeni hapa ila nigependa nikaribiswe na mtu abae na namtafuta kwa mda sasa sifanyi uta nimezaliwa tarehe 21_12_1977 ninaemtaka awe hivi awe kuazia miaka 20-30 kama...
Mara nyingi nimeona thread zimeandikwa natafuta mchumba/mke/mume.
Swali langu ni je mchumba,mume,mke ndio unaoanza au ni urafiki maana nijuavyo mimi ni lazima muanzie kwenye urafiki ndio mhamie...
Salam!
Mimi ni kijana wa Kitanzania,umri miaka 34,nafanya kazi Arusha, natafuta mwanamke wa kuoa awe na umri kuanzia miaka 30,mkristo, mwaminifu, awe mnene kiasi, hata akiwa na mtoto mmoja si...
Wapendwa wana JF,
Hii ni post yangu ya kwanza, lakini sio mgeni sana humu Jf kwa sababu nilikuwa naingia kama mgeni.
Najitokeza jamvini kutafuta mkaka au mwanaume ambaye ana lengo la kufunga...
A man was exploring caves by the seashore. In one of the caves he found a canvas bag with a bunch of hardened clay balls. It was like someone had rolled clay balls and left them out in the sun to...
Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 30,natafuta mwenza kupitia jukwaa hili.Sifa nizitakazo kwa huyo mwenzi awe na muonekano mzuri tu na awe nakipato walau chakujikimu yeye mwenyewe kama una mtoto...
Ningependa ni mwanamke mwenye sifa sifuatazo:
1. Awe Mrefu au mwenye kimo cha wastani (sio mfupi), rangi yeyote ile....(mweusi,mweupe,maji ya kunde...poa tu).
2. Awe na Elimu kuanzia kidato cha...
Anakaribishwa mwanadada mtu mzima kuanazia miaka 30 kwenda juu, kwa mahusiaono kimapenzi. Umri wangu ni miaka 41.sina masharti zaidi. Atakayekuwa radhi tafadhari niandikie private msg.
Jamani mimi nimekua vya kutosha,nina miaka 30,
natuta binti wa kua aliekulia katika maadili yalo mema.
sifa sasa.
1.asiwe baunsa
2.mfupi sana na mnene sana sipendi.
3.shule si muhimu sana ila...
Hi,naitwa Sean nipo Dar,napenda kuogelea,kuimba,beach na kusafiri,I am Fun,Charming,easy to get along with&gentle. Nina miaka 27,elimu ya chuo(IFM). Asanteni.