Poleni kwa majukumu wana JF.
Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa.
Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi:
- Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde
- Ana umri wa...
Mhhh sijui nianzie wapi ila kwa kweli kumpata a man of your dream ni bahati, basi na mimi katika pitapita zangu zote huko nilipotoka nimeishia kuumia bado sijampata wa sifa na vigezo vyangu na...
Hebu wapendwa tusaidie kuwachangia walau hata kipost 1 hawa wanaotafuta wenza humu,, kwakweli wengine inakua kama post zao zinazaraurika kbisaaa khaaa tusaidiane basi wapendwa!!! cheers
Habari za Muda huu wana JF,
ni mara yangu ya kwanza kuweka post humu ila mie ni member wa Jf. Kilichonituma kuweka post humu ni hiki. Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 24+.
Natafuta...
Umri 18-25, kwa yeyote yule ambaye yuko tayari tuwasiliane
throungh e-mail ndaukab@gmail.com for more information.
Only 4 those who are serious, for jokes wewe pita tu usilete
usumbufu
napenda kutoa taarifa kwamba nimefanikiwa kupata mke mtarajiwa hapa jf kupitia bango ambalo niliweka,nilipokea pm nyingi na kupitia hizo malkia mmoja amepatikana.aidha napenda kuwatia moyo wote...
Nataman sana kua na Mchumba wa kike,then akiwa tayari hapo baadae tufunge ndoa,niko mwanza,
Awe btn 18-24,na mkaz wa mwanza pia.
Mi 24yrs,ni mwanasheria na pia ni mjasilia mali,
Nimechoka kua...
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah,
wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah,
wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
Bado niko njia panda kuwa je ni kweli wanawake wanaona aibu kuelezea shida zao hadharani zaidi ya wanaume kwa nyakati hizi? Je, ni kweli wanaume wana wivu wa asili zaidi ya wanawake?
Ukiangalia...
Habar wana jf,mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27, ni mkristo,na ninasoma chuo kikuu cha UDSM,mwaka wq mwisho,hivo ninatafuta msichana mwenye umri kuanzia miaka 20-26, awe mkristo,mtii,na...
mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 30,natafuta girl friend mwenye sifa zifuatazo:
Umri asizidi miaka 40,
Dini yeyote
Kabila lolote
Awe mweusi na kama ni weupe sharti uwe wa asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.