Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
Nina miaka 33, elimu yangu ni chuo, mkristo na nimeajiriwa.
Natafuta binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 31, awe mkristo mwenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au...
Iam a young woman employed as HRO in one of government institutions.
Im looking for a decent man aged 31 to 36 whom I can give my love forever.
Interested? PM for more information.
Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi...
Ninatafuta mwanaume wa kuishi nae awe na miaka 35-45. Awe mrefu angalau fut 5"5, asiwe na kitambi, awe na elimu kuanzia form 6, awe na upeo wa kuchambua mambo mbalimbali ya kijamii (anaeweza...
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45...
Mimi ni kijana mtanashati na nimeoa na nina watoto watatu tu.
Mke wangu hataki tuendelee kuzaa anasema hapo ndio mwisho. Mi nataka watoto wengi iwezekanavyo maana uwezo wa kuwalea ninao. watoto...
awe btn 27-32yrs.
orijino figa mchina hana nafasi.
msafi na mwenye upendo wa kweli kwa kila mtu.
heshima..
mtaalamu kunako 6*6.
mwenye kuhitaji nafasi hii ani PM.
gudi dei
Awe Dar es salaam awe chuo au anafanyakaz cta jali bali awe single na mwaminifu my numbr 0656404721 au 0756001938 age yake iwe 18-23 coz yangu iko hapo
Pia awe cngo,na mwaminifu age yake iwe kat ya 18 mpk 25.. Coz my age ndo iko hapo' but hata iktokea wa zaid bt atanpa mapenz ya kwel tc ok my numb 0656404721
Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
Habari zenu!!
Naitwa John nipo Dodoma,natafuta mpenzi, 22 - 24yrs aliye serious na mahusiano na mwenye focus ya maisha ya baadae!!Elimu kuanzia diploma,awe mKristu,mrefu wastani!!Mimi nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.