Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni handsome, mrefu , maji ya kunde. nimeajiriwa. natafuta mwanamkeke wa kuoa awe na tabia nzuri, awe mwenye mvuto. umri kuanzia miaka 25 - 30. awe majiliwa...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 41. Ninaye mtoto mmoja wa kike ana umri wa miaka 10. Tatizo ni kwamba mke wangu hashiki mimba nyingine. Tumeishaangaika vya kutosha kwa madaktari wa kawaida...
Helo how are you! Am a boy aged 23 am a unv student at Dar am realy looking for a girlfriend being living in dar age 18-23 for any wishes to be with me please send sms "pm" or you may sms me on...
Ninahitaji rafiki wa kike aliye mstaarabu umri kati ya miaka 18 hd 25,dini na kabila sio kikwazo ila awe mtu asiyjichubua au kutumia vipodozi hatarishi. mtu ambaye sio tegemezi na anayejituma...
Natafuta mchumba wa kuoa aliye committed and ready to be married
Sifa awe medium size, mweupe na elimu ya first degree atleast nipo morogoro aliye tayari ani pm au tuwasiliane kwenye email...
Kwanza naomba kama aikuhusu usitoe comment na matusi pia kejeli sitaki, mwenye nia nzuri na mimi anitumie masiliaono maana serious ishu, kama wewe ni msichana mwenye tabia nzuri na unajiamini...
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
Mimi ni mwaanaume nina miaka 26, natafuta mschana ambaye naweza kuanza nae maisha, tabia njema ndio kigezo changu kikubwa, awe mwenye mapenzi ya kweli. hapokuwa nimetendwa mara kadhaa lakin sina...
Mimi naitwa j, nina miaka 30,jinsia united states, ninafanya kazi american air force, I am a us citizen, sikuzaliwa tz ila huwa natembelea sana huko. Nahitaji kujenga urafiki ili baaadae nioe...
Wiki ijayo nakuja mtwara mjini,nitakuwepo huko kwa week 2 mpaka tar 28 may.Sasa kwa vile mm sio mwenyeji sana huko,ntahitaji company ya washkaji wa jf angalau tubadilishane mawazo ili nisiboreke...
Habari za leo wana JF.
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, mpole na mwenye hofu ya mungu, nina elimu ya chuo kikuu na nimeajiliwa. Natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 19 - 23, elimu ya...
nina miaka 28
chubby 80kgs
urefu wangu 160cm
maji ya kunde
nimeajiriwa na NGO
napenda mzee kuanzia miaka 50-60 ambaye hana mke(mjane) awe na watoto wakubwa na wajukuu pia ni sawa tuu, kawe kanene...
Mimi naitwa Power G. Nina umri wa miaka 32, urefu futi 8 na umbo langu kama ninavyoonekana kwenye picha yangu hapo juu. Nina elimu ya msingi na kazi yangu ni mnyanyua vitu vizito. Natafuta binti...
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM.
Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na...
Naitaji mchumba(wakike) anayeishi songea nitapenda zaidi awe mmatengo au mngoni, sina haja na mvuto kwan mm navutia tu, elimu yoyote tu! Umri awe na miaka 18-22, aliyetayari anipm upesi tumeane...
Awe binti wa kuanzia miaka 18-24,awe tayari kuishi kama wana ndoa wanavyoishi (waleavyo familia). Awe mtu wa kufahamu maisha ni nini. Atakaye kuwa tayari anitafute kwa namba 0785454572. I'm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.