Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jamani nauliza, hili Jukwaa ni kwa ajili ya nini?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Natafuta binti wakuchumbia awe mwaminifu,naitwa Kyaro elimu yangu chuo kikuu,ni mfanyakazi wa serikali
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Well, am a male,aged 28yrs,am,university finalist student,am looking for a girl,who has vission and mission about life,she should be 20-24aged,honesty and discipline in advance,i promiss her to...
0 Reactions
6 Replies
953 Views
Naomba mniwie radhi kwa wawe ambao nitawakwaza. Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto mmoja au wawili, asiwe na umri wa zaidi ya miaka 38. Tafadhali kama unahitaji hilo naomba uni-PM. Sababu za...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hi,kwa kutambua umuhumu wa mwanamke kama mfariji,mlezi,mshauri na mama,natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-26, Awe mkristo,mweye umbile la kati ili awe mke wangu,mimi ni mvulana mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ntatafuta mrembo wa kuspend nae weekend pamoja pale rombo green view..reply thru jayray141@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wana jamvi la "great thinkers". mimi ni mgeni kabisa katika jamvi hili na ni mara yangu ya kwanza kuweka post yangu hapa, japo ni msomaji sana wa JF lakini kama mgeni. kama kichwa cha...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Hi members, well am a guy,28years old,a university finalist student,am looking for a girlfriend who is commited,who is willing to be with me,let us ake life,i promis her to give true and real...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM. Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mrefu kiasi,si mnene si mwembamba,si mweupe sana,mwenye mvuto wa asiri na si wa mkorogo awe mkristu dhehebu lolote,anayejiheshimu na anayemtii Mungu awe na certificate ama diploma akiwa na kazi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
natafuta mchumba wa kike humu j.f awe na sifa ya kuwa chin ya miaka 26 KAMA MTAVUTIWA NAOMBENI MNI P.M AKA MNITUMIE PRIVATE MESSAGE
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nilikuwa na mpenzi wangu tumekaa miaka miwili ila sasa tumeshindwana. Natafuta mtu wa kuniweka kimada/nyumba ndogo na awe na sifa zifuatazo 1. Handsome 2. Awe na uwezo wa kawaida - ka gari siyo...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Hello there, my mind is tired i am looking for someone special(girl) wa kurusha nae roho if interested reply then i will give u contacts
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Vigezo. Rangi-mweupe urefu-5.7 to 6.1 Dini-mkristo elimu-kuanzia degree Kabila-any umri-27-38 mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10...
7 Reactions
92 Replies
12K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25-38. Ni muajiriwa wa serikali, umbo langu saiz tu si mrefu sana wala si mfupi sana, ni mweusi kidogo. Natafuta mchumba ili baadae tufunge ndoa. Awe na uwezo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hey mambo vp, mimi ni kijana wa kiume mwenye age ya 25. Ni mhitimu wa kidato cha nne, pia mhitimu wa mafunzo ya Ufundi kwa fani ya Umeme. Kwa hiyo nimejiajiri mwenyewe. Ni mrefu wastani na mweusi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
i need a girlfriend & she should be from mombasa. Contact me through 0725036400
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Looking for a girl friend from mombasa. Akuwe serious.
0 Reactions
0 Replies
677 Views
I am a married men but not very happy with my ndoa. Nahitaji marafiki wa kike ambao wako tayari kunisaidia kupunguza hizi stress. If serious and mean very serious pm.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom