natafuta mchumba na mungu akijalia tuje funga ndoa,nina miaka 30 natafuta mwanaume wa miaka kuanzia 36 mpaka 40 kabila lolote awe mkristo na mpenda maendeleo kama mimi,asiwe mlevi, awe mrefu asiye...
Jamani Habarini zenu wanajamiii mm ni mgeni hapa jamvini,mm ni kijana (mvulana) mwenye miaka 29 ninaelimu ya Chuo (Single Degree) na tayari nimeshaajiliwa nafanya kazi ila katika maisha yangu...
M2 yeyote ndani ya jf ambaye yuko tayari 2we marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo,kupeana changamoto kimaisha pamoja na kutchat,na si vinginevyo ajitokeze.
Mimi ni kijana mwenzenu naitwa junaid, ni kijana mwenye asili ya kiarabu na ninaishi Uk. natafuta mchumba mwenye sifa hizi, hizi sifa ni muhimu sana maana mwanamke wa ndoto yangu nataka awe hivi ...
Jamani akina dada naombeni msaada wenu kwa yeyote ambaye atajitokeza au kijitolea ili kuupoza moyo wangu ulioumia baada ya kutendwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda. Kwa jinsi alivyonifanyia kwa...
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26,sikubahatika kuendelea na masomo niliishia kidato cha pili.nahitaji mume kwa sasa lakini kutokana na ufinyu wa elimu niliokuwa nao nimekuwa...
Natafta mke wa kuoa ambaye yupo commited na god fearing awe tayari kuolewa na si kuchezeana. Awe mkristo na umri between 21-25 aliye tayari anitumie email kwenye marko7us@gmail.com
Jamani, habari zenu wa jf ; nimerudi tena ,maana wanasema mambo mazuri hayataki haraka na subira huvuta heri!ni mimi kijana wa early 30's, nipo dom ,nahitaji mke msomi angalau form...
Natafuta mchumba msichana awe na umri usiozidi miaka 26, elimu yoyote ila asiwe na zaidi ya masters, rangi yoyote, dini yoyote, umbile urefu asizidi ft 5,4", asiwe mnene au mnene aliye tayari...
natafuta mchumba/msichana mwenye sifa hizi:
mweupe au maji ya kunde.
mwembamba.
elimu ya kidato cha sita au chuo.
dini yoyote.
kabila yoyote.
ajue kiswahili.
umri ni: 24-30.
asiwe na...
nahitaji mume mwenzenu,mi sijasoma ila mwaka jana nimefa qt na sasa naendelea na masomo ya sekondari mwaka huu nitafanya mtian wa fm 4 ila nafanya kazi kwenye ofisi moja kama muhudumu ni kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.