Am Marx from Moshi, nna miaka 23; Am taking bachelor in Doctor of Medicine at KCmc..natafuta mchumba kati ya 18-22, awe na elimu kuanzia form 4 na kuendelea, awe mwelewa kidgo na maisha,mwenye...
Nipe sababu 10 kwanini unadhani unataka /unatamani kuishi na mimi for the rest of your life? Why me na sio wengine? Au mjibie mpenzi wako kwa nini yeye?
mimi ni kijana wa miaka 32 i am at dodoma ;i really want a wife .a dream woman aged between 20 and 23 she should not be less than form six graduate and she should be white well figured and agood...
mimekuwa msomaji mzuri wa jf mpaka nilipokata shauri kujiunga,lakini kinachonishangaza mwenzenu iv kwa nini m2 akisema anahitaji mwenza ndani ya hili jukwaa jamani mbona huwa anazodolewa...
habari zenu wana jf natumaini wengi wenu hamjambo . jamani kuna msichana tuko naye course moja nampenda sana nataka awe mchumba wangu, leo tukiwa darasani niliamua kukaa naye karibu alivyoniona...
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.
Na...
Wapendwa kama mada inavyojieleza hapo juu, nimeamua kuvunja ukimya na kutaka kuingia katika maisha ya ndoa. Mimi ni mwanaume, dini mkirsto. Nina umri wa miaka 31. Mrefu wa wastani, maji...
awe anajishughulisha,i.e. Biashara au kazi... Asiwe muongo,sichagui dini,kabila,rangi,wala utaifa,, awe tayari kupima..... Me ni muajiriwa.... Nakaribisha maombi...
Wakuu wa jf,mimi ni mwanaume miaka 30,niko masomoni nje ya nchi nategemea kurudi Tz by june this year ,natafuta msichana ili tuanze mawasiliano saizi ili nikifika tumalizie tu taratibu za...
Mimi ni mwanaume wa miaka 30. Ni mrefu
kiasi cha 5' 9'. Nina umbo la kispoti. Nina
elimu ya graduate. Nina busara na nimeokoka.
Ni mwaminifu. Natafuta mchumba wa
kumwoa mwenye sifa mzuri...
Sitanii hata kidogo, nipo serious nahitaji mchumba.
awe mrembo/mzuri wa sura umbo tabia.
asiwe na zaidi ya miaka 28.
awe anajua kusoma na kuandika.
mrefu mweupe au maji ya kunde.
asiwe amewahi...
I'm kind of confused if I'm at the right place or not. Let me say what I think is on my mind if this is the right place. I'm looking for a fiance that if God wishes, we become husband and wife...
Jamann...
Mie mwenzenu umri unakaribia kunitupa...sasa nahitaji wife wa kuishi nae ..
Yeyote mwenye contacts za msichana mzuri, tall, midweight (60-70kgs), any natural colour, educated ani PM...
Mimi ni mwanaume wa miaka 30. Ni mrefu kiasi cha 5' 9'. Nina umbo la kispoti. Nina elimu ya graduate. Nina busara na nimeokoka. Ni mwaminifu. Natafuta mchumba wa kumwoa mwenye sifa mzuri. Naomba...
Mi nahitaji mchumba kutoka Rwanda.
Awe na sifa zifuatazo
1. Mcha Mungu
2. Anafahamu Kinyarwanda na lugha nyingine yoyote inaruhusiwa ingawa Kinyarwanda kitapewa kipaumbele.
3. Miaka 21-23...
Salaam wandugu,
nina shosti wangu ambae anatafuta mchumba/mume.alikuwa masomoni kwa kipindi kirefu na amejikuta amemalizia muda wake mwingi masomoni na umri ukiwa umeenda sana.anapendelea mwanamme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.