Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Naomba wana jf mnisaidie mm natafuta mwenza. Awe msafi, mwenye moyo wa utu wema, mkweli. Tafadhar niko serious upweke unaleta ugonjwa wa moyo
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mwenzenu huwa nawazimia sana akina dada wajawazito. Hivyo naomba tuwasilane
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Erased by sender
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Ref thread yangu ya kutafuta rafiki leo ndo mwisho wa kUni pm asanteni sana matokeo hapa hapa jamvini
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Kama wewe ni mwanaume huna haja ya kusoma post hii maana kuna neno 'girl' hapo juu! Salaamu wadada wazuri wa JF, natafuta binti mzuri wa kitanzania mwenye maadili mema na aliyetulia ,hata kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
got some peoples attention!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MIMI ni member mpya wa jamii forum kwa hiyo natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya urafiki wa kawaida na pia awe anasoma chuo kikuu ili tubadilishane mawazo kuhusu masuala ya elimu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nafatuta mwanaume aliye mpweke awe na watoto wasiozidi wawili umri usizidi miaka mitano awe HIV-NEGATIVE MIMI NINA UPENDO WA KWELI NINA MIAKA 32 MAWASILIANO EMAIL AMINSENGA@YAHOO.COM KAMA...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Jamani naomba mnisaidie kwa ushauri ili kufanikisha ndoto yangu.mm nina miaka 25, nina elimu ya chuo kikuu, ninatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:- *awe na umri usiozidi miaka 22 *awe ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JAMANI NATAFUTA KABINTI KAZURI KOKOTE KANAKOSOMA CHUO KIKUU MZUMBE,KWA MAHUSIANO SERIOUS KABISA KABISA NAMI NIKO HAPA MZUMBE KWA SANA.NICHECK AT kulwatz@gmail.com
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Namsaka baby msichana awe na umri kuanzia 18-25 asanteni mabinti wa kibongo na sifa zote nzuri nizenu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman kila post nnayoangalia naona ni male anatafuta female,post chache sana za females wanatafuta male Haya sasa nawadirect nendeni mwakilaga.blogspot.com huko ndo mtakuta females wanatafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta msichana alye chuo mwaka wa kwanza ambae tutakua wapenzi daima,umri 19-22yrz,kawe keupe,kanene kiasi,karefu kimtindo,macho mazuri,nywele ndefu,kawe kakristo,kawe kasafi ka mwili na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hello!! Natafuta marafiki wa kuchat nao ningependa zaidi age 17-20 coz age yangu inarange hapo Sibagua jinsia,kabila au rangi. Aliye tayari aniPM
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24,na nimemaliza chuo mwaka huu..!natafuta binti wa kuchat naye awe na elimu yoyote,rangi yoyote,mnene kiasi,urefu wa wastani na awe mcheshi..!kama yupo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
May u got me through this. clarrr@hotmail.co.uk RESPECT UR SELF I WILL RESPECT U.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Namsaka binti wa kibongo,sifa zote ziende kwenu +255682880985
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa akina dada wa Jf na wana MMU ( LOVE Connect), poleni na pilika za hapa na pale. Mimi najitokeza hapa kwa lengo la kutafuta mchumba (binti ambaye yupo very serious) mwenye nia thabiti...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenyu jf natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife baadaye tafadhali ni pm kama uko tiyari Nb:asiwe mwenye mtoto ama kuachika awe mkiristu umri 20
0 Reactions
3 Replies
2K Views
....Naomba Bebii uni-PM tafadhali,naona unafaa kuwa mwenzi wangu wa maisha.
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…